CHRISTIAN ERIKSEN ATUMA UJUMBE KWA WACHEZAJI
HomeMichezo

CHRISTIAN ERIKSEN ATUMA UJUMBE KWA WACHEZAJI

CHRISTIAN Eriksen amewaambia wachezaji wenzake wa Klabu ya Inter Milan kwamba yupo vizuri baada ya kuanguka uwanjani katika mchezo wa Euro...

SIMBA YATAJA WACHEZAJI HATARI WA YANGA, SAIDO, KISINDA NDANI
CHAMA, LUIS NA BWALYA WATAJWA KUWA TISHIO KWA MKAPA
INTER MIAMI INAMPIGIA HESABU ASHLEY YOUNG

CHRISTIAN Eriksen amewaambia wachezaji wenzake wa Klabu ya Inter Milan kwamba yupo vizuri baada ya kuanguka uwanjani katika mchezo wa Euro 2020 wakati akiitumikia timu yake ya taifa ya Denmark dhidi ya Finland.

Nyota huyo mwenye miaka 29 alianguka uwanjani dakika ya 43 na alipewa huduma ya kwanza na kupelekwa hospitali ambapo wachezaji wenzake waliweza kupata mshtuko na wengine kulia huku wakiunda duara ili kuzuia tukio hilo lisiweze kuonekana.

Katika mchezo huo uliochezwa Uwanja wa Parken, ulisoma Denmark 0-1 Finland na mtupiaji alikuwa ni Joel Pohjanpalo aliyepachika bao hilo dakika ya 59. Baada ya tukio hilo alichukuliwa na kupelekwa hospitali kwa huduma zaidi.

Baada ya kuamka amewatumia ujumbe wachezaji wenzake wa Inter Milan pamoja na wale wa timu ya taifa ya Denmark kwamba yupo katika hali nzuri hivyo wasiwe na mashaka juu yake.

Kwa mujibu wa mwandishi wa Italia, Tancedi Palmeri amesema kupitia ukurasa wake wa Twitter kwamba Eriksen ametuma ujumbe kwenye kikosi cha timu ya Inter Milan kwa kuwaambia kwamba, 'nipo vizuri'.





Credit: SALEH JEMBE

Please subscribe to get all sports news instantly
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: CHRISTIAN ERIKSEN ATUMA UJUMBE KWA WACHEZAJI
CHRISTIAN ERIKSEN ATUMA UJUMBE KWA WACHEZAJI
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjwWtPEzZwf4H-LuTAri01V-0p8Z9D9DMqVdc2Yd9QW76CMHg-sG3HgdToRJuzN2pRqz4tKWfVsd48Qp7rQtITlOxbhv2194EYIB8tTd-pPgQUZ_CRwqZWE0a2hV-0lBXYVor6k-lR89kop/w640-h640/Eriki.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjwWtPEzZwf4H-LuTAri01V-0p8Z9D9DMqVdc2Yd9QW76CMHg-sG3HgdToRJuzN2pRqz4tKWfVsd48Qp7rQtITlOxbhv2194EYIB8tTd-pPgQUZ_CRwqZWE0a2hV-0lBXYVor6k-lR89kop/s72-w640-c-h640/Eriki.jpg
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/06/christian-eriksen-atuma-ujumbe-kwa.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/06/christian-eriksen-atuma-ujumbe-kwa.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy