NYOTA WAWILI SIMBA WAACHWA JUMLAJUMLA
HomeMichezo

NYOTA WAWILI SIMBA WAACHWA JUMLAJUMLA

  R ASMI  uongozi  wa Simba  umetangaza  kuachana na  wachezaji wake wawili kiungo  mshambuliaji Ibrahim Ajibu  na beki wa kushoto Gadiel ...

MBWANA SAMATTA ANAPITIA KIPINDI KIGUMU, LAZIMA APAMBANE
YA AFCON YAMEKWISHA SASA NGUVU IWE KWENYE UWEKEZAJI MAANA NI MAUMIVU
LIVERPOOL YAINYOOSHA 3G ARSENAL EMIRATES

 RASMI uongozi wa Simba umetangaza kuachana na wachezaji wake wawili kiungo mshambuliaji Ibrahim Ajibu na beki wa kushoto Gadiel Michael.

 

Simba inaachana na wachezaji hao kama wachezaji huru kutokana na mikataba yao kutarajiwa kumalizika mwishoni mwa msimu huu.

 

Awali tetesi zilizagaa za wachezaji hao kuwepo katika mipango ya kusajiliwa na Yanga katika kuelekea msimu ujao kabla ya mashabiki kuja juu kushinikiza viongozi kusitisha mipango hiyo.

 

Kwa mujibu wa chanzo cha habari kutoka ndani ya uongozi wa Simba, timu hiyo haipo tena katika mipango ya kuwaongezea mikataba mipya ya kuendelea kuichezea timu hiyo, ni baada ya Benchi la Ufundi kupendekeza kuachana na nyota hao.

 

Chanzo hicho kilisema kuwa Simba inamsaka mbadala wa Gadiel ambapo awali ilikuwa inamhitaji Edward anyama kabla ya mabosi wa Azam FC kupindua meza kibabe.

 

Kiliongeza kuwa mabosi hao hivi sasa wapo katika mipango ya kumpata kiungo mwingine mshambuliaji mwenye uwezo mkubwa wa kufunga na kutengeneza nafasi za mabao atakayemrithi Ajibu.

 

“Rasmi Gadiel na Ajibu ruksa hivi sasa kufanya mazungumzo na klabu nyingine itakayowahitaji katika kuelekea msimu ujao, kwani hawapo katika mipango yetu.

 

"Hivi sasa ni wachezaji huru kwani mikataba yao tayari imemalizika, kwani wale wachezaji wetu wote muhimu waliokuwepo kwenye mipango ya kocha tumewaongezea mikataba mipya," ilieleza taarifa hiyo.


Akizungumzia usajili wa timu hiyo, Makamu Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Simba, Salim Abdallah ‘Try Again’, alisema: “Muda wa usajili bado, lakini pia mipango yote ya usajili ipo kwa kocha wetu Gomes (Didier) ambaye ndiye atakayependekeza wachezaji wa kusajiliwa na kuachwa.”



Credit: SALEH JEMBE

Please subscribe to get all sports news instantly
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: NYOTA WAWILI SIMBA WAACHWA JUMLAJUMLA
NYOTA WAWILI SIMBA WAACHWA JUMLAJUMLA
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEiYOBca8MWr_1Ivw4HGGOBwySIHezVqLR4YFdAhjV4gdnwO3IdMgOD-8pQFNBV5xke50xJST0FhBgs51jb2bAYVZJnbbr0WZY5PSmZEOyHMl49i9EbcQZsXt7cgqpgs4PrcEHb0jTOFCYi2/w640-h640/Ajibu+1.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEiYOBca8MWr_1Ivw4HGGOBwySIHezVqLR4YFdAhjV4gdnwO3IdMgOD-8pQFNBV5xke50xJST0FhBgs51jb2bAYVZJnbbr0WZY5PSmZEOyHMl49i9EbcQZsXt7cgqpgs4PrcEHb0jTOFCYi2/s72-w640-c-h640/Ajibu+1.jpg
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/06/nyota-wawili-simba-waachwa-jumlajumla.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/06/nyota-wawili-simba-waachwa-jumlajumla.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy