KIPA WA YANGA ASEPA KAMBINI, KISA MKWANJA
HomeMichezo

KIPA WA YANGA ASEPA KAMBINI, KISA MKWANJA

IMEELEZWA kuwa kipa namba tatu wa Klabu ya Yanga, Ramadhan Kabwili amesepa kambini baada ya kunyimwa mkataba mpya wa kuitumikia timu hiyo....


IMEELEZWA kuwa kipa namba tatu wa Klabu ya Yanga, Ramadhan Kabwili amesepa kambini baada ya kunyimwa mkataba mpya wa kuitumikia timu hiyo.

Kabwili ni miongoni mwa wachezaji ambao mikataba yao inatarajiwa kumeguka hivi karibuni ambapo msimu huu ukiisha naye anakuwa amemaliza kandarasi yake.

Kwa mujibu wa taarifa zimeeleza kuwa nyota huyo hayupo kambini kijiji Kigamboni, Avic Town na alisepa bila taarifa kwa viongozi.

Mtoa taarifa huyo alieleza kuwa kipa huyo alikuwa anadai mkataba mpya na dau ambalo alikuwa anahitaji ni kubwa jambo ambalo mabosi wake waligomea.

"Ni ngumu kumpa mkataba mpya na fedha za usajili Kabwili kwa kuwa ni kipa namba tatu na amecheza mechi moja pekee msimu uliopita kwenye ligi.

"Msimu huu hajacheza mchezo hata mmoja kwenye ligi zaidi ya kuishia jukwaani hivyo kuongezewa mkataba na kulipwa mkwanja mrefu hayo ni matumizi mabaya ya fedha jambo ambalo ameliamua kusepa na mabegi yake kambini," . 

Chanzo: Championi



Credit: SALEH JEMBE

Please subscribe to get all sports news instantly
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: KIPA WA YANGA ASEPA KAMBINI, KISA MKWANJA
KIPA WA YANGA ASEPA KAMBINI, KISA MKWANJA
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEh2arVJ6M5yKWgDryvTzmDo_KnsafYnbMaxQ2j7EBEHmVQBalPhlUjCo6stP5mPMCtdfJdxEflpbagMNoXnDkMlGV_d3VdV_tD8T1cQEXs3sn3eN-4BCpHnnnngiKAUv8gylS2OI1xRHosw/w640-h640/_kabwili32-190230098_489549435499003_7496815256841769758_n.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEh2arVJ6M5yKWgDryvTzmDo_KnsafYnbMaxQ2j7EBEHmVQBalPhlUjCo6stP5mPMCtdfJdxEflpbagMNoXnDkMlGV_d3VdV_tD8T1cQEXs3sn3eN-4BCpHnnnngiKAUv8gylS2OI1xRHosw/s72-w640-c-h640/_kabwili32-190230098_489549435499003_7496815256841769758_n.jpg
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/06/kipa-wa-yanga-asepa-kambini-kisa-mkwanja.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/06/kipa-wa-yanga-asepa-kambini-kisa-mkwanja.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy