CHAMA, LUIS NA BWALYA WATAJWA KUWA TISHIO KWA MKAPA
HomeMichezo

CHAMA, LUIS NA BWALYA WATAJWA KUWA TISHIO KWA MKAPA

MCHAMBUZI wa masuala ya michezo ndani ya ardhi ya Bongo, Mwalimu Alex Kashasha amesema kuwa muunganiko wa Clatous Chama, Luis Miquissone ...

BUCHOSA YAFANYA KWELI UMITASHUMTA, SHIGONGO ATOA NENO
JACKPOT ZA NGUVU NA KASINO YA MTANDAONI YA MERIDIANBET!
SAKATA LA MORRISON NA YANGA LINAANZA UPYA KABISA


MCHAMBUZI wa masuala ya michezo ndani ya ardhi ya Bongo, Mwalimu Alex Kashasha amesema kuwa muunganiko wa Clatous Chama, Luis Miquissone na Larry Bwalya ni tishio kwa wapinzani wao ikiwa timu itakuwa kwenye muunganiko imara.

Leo Mei 8, Simba itawakaribisha Yanga kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara unaotarajiwa kuwa na ushindani mkubwa majira ya saa 11:00 jioni, Uwanja wa Mkapa.

Kashasha amesema kuwa ili timu ifanye vizuri inahitaji muunganiko pamoja na ushirikiano kuanzia safu ya ulinzi, viungo na ushambuliaji hivyo idara hizi zikifanya kazi kwa ukamilifu wapo wale ambao humalizia muunganiko huo kwa kuamua matokeo hivyo wakipewa nafasi wanaweza kupeleka maumivu kwa wapinzani.

Kashasha amesema kuwa miongoni mwa wachezaji ambao wamekuwa na muunganiko mzuri ndani ya Simba ni pamoja na Bwalya, Luis na Chama.

"Luis na Chama hawa wamehusika kwenye mabao mengi ambayo yamefungwa na Simba yupo na Bwalya huyu naye pia anaufanya muunganiko wao kuwa mkubwa na wenye nguvu.

"Ikiwa watakuwa na muunganiko mzuri kutoka safu ya ushambuliaji mpaka kwenye viungo hapo ndipo ambapo kazi yao imekuwa ikionekana kuwa hatari zaidi.

"Unapozungumzia mpira haumzungumzii mchezaji mmojammoja bali timu kiujumla, lakini kuna wakati mchezaji binafsi huwa na kazi ya kuamua matokeo hasa pale mechi inapokuwa ngumu.

"Hapa unaona mchezaji kama Luis kuna mechi alikuwa anaonekana anaondoka na kijiji cha wachezaji ili kutafuta nafasi, jambo hili nalo ni muhimu kwa wachezaji kujua na kufanya katika kutimiza majukumu yao," amesema.

Luis na Chama wamehusika kwenye jumla ya mabao 39 ambapo Chama amefunga mabao 7 na kutoa pasi 13 na Luis amefunga mabao 7 na kutoa pasi 9 za mabao wakati Simba ikiwa imefunga mabao 58.




Credit: SALEH JEMBE

Please subscribe to get all sports news instantly
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: CHAMA, LUIS NA BWALYA WATAJWA KUWA TISHIO KWA MKAPA
CHAMA, LUIS NA BWALYA WATAJWA KUWA TISHIO KWA MKAPA
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEiUBlvIZF-v8VqOCt0xiC-Hb7e8mtYTfrE3yU20EF0uXO3s9FccK69nhPv1hDOkRSIpKIGGNDtIgZ0mlmRTBB3Wk9hyJhe9TCzz5jPedTvqCkXH5CXxhMvp3XBd4kMaAF0i1viFzlCDrS4d/w632-h640/chama+v+Mukoko.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEiUBlvIZF-v8VqOCt0xiC-Hb7e8mtYTfrE3yU20EF0uXO3s9FccK69nhPv1hDOkRSIpKIGGNDtIgZ0mlmRTBB3Wk9hyJhe9TCzz5jPedTvqCkXH5CXxhMvp3XBd4kMaAF0i1viFzlCDrS4d/s72-w632-c-h640/chama+v+Mukoko.jpg
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/05/chama-luis-na-bwalya-watajwa-kuwa.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/05/chama-luis-na-bwalya-watajwa-kuwa.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy