YANGA WAIVUTIA KASI RUVU SHOOTING, UJUMBE HUU HAPA UMETUMWA
HomeMichezo

YANGA WAIVUTIA KASI RUVU SHOOTING, UJUMBE HUU HAPA UMETUMWA

  UONGOZI wa Yanga umeweka wazi kwamba kwa sasa unaendelea na maandalizi kwa ajili ya mechi zao zote zilizobaki ikiwa ni pamoja na ule uja...

VIDEO: SWEDI MKWABI ATAJA SABABU YA KUMCHULIA FOMU WALLACE KARIA
VIDEO: MAZOEZI YA TIMU YA TAIFA YA TANZANIA KUELEKEA KWENYE MCHEZO DHIDI YA MALAWI
BAADA YA KUTEMBEZA KICHAPO CHA 7-1 LOW ATAMBA

 UONGOZI wa Yanga umeweka wazi kwamba kwa sasa unaendelea na maandalizi kwa ajili ya mechi zao zote zilizobaki ikiwa ni pamoja na ule ujao dhidi ya Ruvu Shooting.

Yanga inanolewa na Kocha Mkuu, Nassredine Nabi raia wa Tunissia ambaye kwa sasa ameendelea kuwanoa vijana hao walio nafasi ya pili na pointi 61 kwenye msimamo.

Akizungumza na Spoti Xtra, Ofisa Habari wa Yanga, Hassan Bumbuli alisema kuwa tayari wachezaji ambao hawana majukumu katika timu zao za taifa wapo kambini, Kigamboni kwa ajili ya mechi zao zilizobaki.

“Maandalizi kwa ajili ya mechi zetu ambazo zimebaki yameanza kwa kuwa wachezaji wapo kambini kwa sasa wakiendelea na mazoezi ili kuweza kupata matokeo chanya kwa kuwa malengo yetu ni kushinda mechi zetu zilizobaki,” alisema Bumbuli.

Mchezo wao  ujao utakuwa ni Juni 17, Uwanja wa Mkapa ni dhidi ya Ruvu Shooting, mchezo wa kwanza walipokutana Uwanja wa Mkapa ubao ulisoma Yanga 2-1 Ruvu Shooting.



Credit: SALEH JEMBE

Please subscribe to get all sports news instantly
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: YANGA WAIVUTIA KASI RUVU SHOOTING, UJUMBE HUU HAPA UMETUMWA
YANGA WAIVUTIA KASI RUVU SHOOTING, UJUMBE HUU HAPA UMETUMWA
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhAbyYaPrFW2oXYru_IKD3P9xfJwDbuBymk2WHgUCkzDMXwu2fjVkY2s48stixM5Ko68LQKOFVXymIcXPMWIGkVnpokrsFOGHGcXAaOniAX9k_jRd1MonIRy-FFEP2dO9KWN8ZYVYjuxm48/w640-h606/yangasc-194917261_858418654755099_8729649926297399667_n.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhAbyYaPrFW2oXYru_IKD3P9xfJwDbuBymk2WHgUCkzDMXwu2fjVkY2s48stixM5Ko68LQKOFVXymIcXPMWIGkVnpokrsFOGHGcXAaOniAX9k_jRd1MonIRy-FFEP2dO9KWN8ZYVYjuxm48/s72-w640-c-h606/yangasc-194917261_858418654755099_8729649926297399667_n.jpg
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/06/yanga-waivutia-kasi-ruvu-shooting.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/06/yanga-waivutia-kasi-ruvu-shooting.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy