MABINGWA watetezi wa Kombe la Azam Federation Cup, Simba leo Juni 12 wametambulisha jezi mpya watakazotumia katika michuano hiyo. ...
MABINGWA watetezi wa Kombe la Azam Federation Cup, Simba leo Juni 12 wametambulisha jezi mpya watakazotumia katika michuano hiyo.
Simba imetinga hatua ya nusu fainali baada ya ushindi wa mabao 3-0 dhidi ya Dodoma Jiji na itakutana na Azam FC katika hatua hiyo.
Credit: SALEH JEMBE
Please subscribe to get all sports news instantly
COMMENTS