NYOTA WA SIMBA CLATOUS CHAMA AANDALIWA PROGRAM MAALUM
HomeMichezo

NYOTA WA SIMBA CLATOUS CHAMA AANDALIWA PROGRAM MAALUM

 KUFUATIA changamoto ya msiba wa mke wake,  kiungo mshambuliaji wa Simba, Clatous Chama  ameandaliwa programu maalum na uongozi wa  benchi...

UCHAGUZI WA TFF KILA KITU KINAKWENDA SAWA
VIDEO:MAKAMBO, MAYELE WASEPA BONGO
SIMULIZI YA MWANAUME ALIYEKUTANA NA KIZAAZAA

 KUFUATIA changamoto ya msiba wa mke wake, 
kiungo mshambuliaji wa Simba, Clatous Chama ameandaliwa programu maalum na uongozi wa benchi la ufundi la klabu hiyo itakayomsaidia kurejea katika makali yake pale atakapojiunga na kikosi.


Taarifa za Chama kufiwa na mke wake zilithibitishwa na uongozi wa Simba Mei 29, mwaka huu ambapo taratibu zote za mazishi zilifanyika kwao nchini Zambia.


Akiwa na kikosi cha Simba msimu huu Chama amekuwa katika kiwango bora, ambapo katika michuano ya Ligi Kuu Bara pekee msimu huu, amehusika kwenye mabao 20 ya Simba, akifunga mabao saba na kuasisti mara 13.


Akizungumza na Championi Ijumaa, Kocha wa Viungo wa Simba, Adel Zrane, alisema: “Unajua utimamu wa saikolojia ni muhimu sana kwa mchezaji ili aweze kufanya vizuri, mchezaji anaweza kuandaliwa katika kila eneo lakini kama saikolojia yake haitakuwa sawa basi hawezi kufanya vizuri.

“Kama kikosi tumesikitishwa sana na tukio la Chama kumpoteza mke wake, ni jambo gumu na tayari kama benchi la ufundi tumeandaa programu maalum ya kumjenga kiakili na kimwili ili kumsaidia arejee katika kiwango chake pale atakapojiunga na kikosi.”



Credit: SALEH JEMBE

Please subscribe to get all sports news instantly
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: NYOTA WA SIMBA CLATOUS CHAMA AANDALIWA PROGRAM MAALUM
NYOTA WA SIMBA CLATOUS CHAMA AANDALIWA PROGRAM MAALUM
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEg0NOzNGewTiRTTPibbO0VKB3UkqbbSDf_5u6vvzEkMLmhBez5SnFpMoVJbZntker5iXIzp9igROX0oKvi7zDztN1WVAfKV5OmZHBfx46LkPT_FLDWC2Zp_e6AGjgv_UefwRe2rTImsiSQM/w640-h640/realclatouschama-175894455_874691159755618_8487030315772873174_n.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEg0NOzNGewTiRTTPibbO0VKB3UkqbbSDf_5u6vvzEkMLmhBez5SnFpMoVJbZntker5iXIzp9igROX0oKvi7zDztN1WVAfKV5OmZHBfx46LkPT_FLDWC2Zp_e6AGjgv_UefwRe2rTImsiSQM/s72-w640-c-h640/realclatouschama-175894455_874691159755618_8487030315772873174_n.jpg
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/06/nyota-wa-simba-clatous-chama-aandaliwa.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/06/nyota-wa-simba-clatous-chama-aandaliwa.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy