SHABIKI wa Simba, maarufu kama Simba Ulaya amesema kuwa mchezo wa Kombe la Shirikisho dhidi ya Kagera Sugar wakati wakishinda mabao 2-1 ulik...
SHABIKI wa Simba, maarufu kama Simba Ulaya amesema kuwa mchezo wa Kombe la Shirikisho dhidi ya Kagera Sugar wakati wakishinda mabao 2-1 ulikuwa ni mpango wa timu hiyo kupanga kikosi kitakachoanza kwenye mchezo dhidi ya Yanga, Mei 8.
Credit: SALEH JEMBE
Please subscribe to get all sports news instantly
Ameongeza kuwa wanaweza kupata penalti tano kwenye mchezo huo ambao unazidi kuwa na joto kwa sasa.
Credit: SALEH JEMBE
Please subscribe to get all sports news instantly
COMMENTS