LIVERPOOL WANAISAKA SAINI YA NAHODHA INSIGNE
HomeMichezo

LIVERPOOL WANAISAKA SAINI YA NAHODHA INSIGNE

 NYOTA wa kikosi cha Napoli ambeye ni nahodha pia Lorenzo Insigne aliyefanya vizuri katika EURO 2020 saini yake inagombaniwa na timu nying...


 NYOTA wa kikosi cha Napoli ambeye ni nahodha pia Lorenzo Insigne aliyefanya vizuri katika EURO 2020 saini yake inagombaniwa na timu nyingi ikiwa ni pamoja na Liverpool, Everton ambazo zinashiriki Ligi Kuu England.

Mbali na timu hizo pia Inter Milan ambayo inayoshiriki Serie A inaipigia hesabu saini ya nyota huyo ambaye ni mshambuliaji aliyeletwa duniani mwaka 1991 akiwa na umri wa miaka 30.

Raia huyo wa Italia ni moja ya nyota ambao wamekuwa wakitajwa sana kusepa ndania ya timu yake ya sasa inayoshiriki Serie A hivyo huenda atakuwa kwenye changamoto mpya dili lake likijibu.

Kwa upande wa Liverpool wao imeelezwa kuwa wanahitaji saini za wachezaji watatu kabla ya dirisha kufungwa huku miongoni mwa nyota wanaotajwa ni pamoja na Insigne pia Inter Milan wao wanasubiri dili lao kujibu kwa mshambuliaji huyo ambaye ni chaguo lao pia.



Credit: SALEH JEMBE

Please subscribe to get all sports news instantly
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: LIVERPOOL WANAISAKA SAINI YA NAHODHA INSIGNE
LIVERPOOL WANAISAKA SAINI YA NAHODHA INSIGNE
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjEb5-Wrp8A8wuI7SHWlSR97ncx1MAVsF_-Lscsj4oLb4PQiPtUqHDTkDUjteiRbgG1tWOHZeWVAOMTvgIug9XcpRp4zTiuTF7BfeZ_dNZABv9UAiMeikS33377eY7PQO2Hatu_2krNTO_p/w640-h426/Insigne+tena.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjEb5-Wrp8A8wuI7SHWlSR97ncx1MAVsF_-Lscsj4oLb4PQiPtUqHDTkDUjteiRbgG1tWOHZeWVAOMTvgIug9XcpRp4zTiuTF7BfeZ_dNZABv9UAiMeikS33377eY7PQO2Hatu_2krNTO_p/s72-w640-c-h426/Insigne+tena.jpg
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/08/liverpool-wanaisaka-saini-ya-nahodha.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/08/liverpool-wanaisaka-saini-ya-nahodha.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy