KOCHA WA TIMU YA TAIFA POULSEN ATAKA WACHEZAJI KUJITUMA
HomeMichezo

KOCHA WA TIMU YA TAIFA POULSEN ATAKA WACHEZAJI KUJITUMA

  KIM Poulsen, Kocha Mkuu wa timu ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars amesema kuwa ni lazima kwa kila mchezaji ambaye ameitwa kwenye timu hi...


 KIM Poulsen, Kocha Mkuu wa timu ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars amesema kuwa ni lazima kwa kila mchezaji ambaye ameitwa kwenye timu hiyo kujituma ili kuipa matokeo chanya timu hiyo.


Stars inatarajiwa kuingia kambini Machi 8 ikiwa ni kwa ajili ya maandalizi ya mechi za kufuzu Afcon ambapo ina mechi mbili za kucheza ni ile dhidi ya Eguatorial Guinea  itachezwa Machi 25 na Libya itakuwa Machi 28.


Poulsen amesema kuwa wachezaji wengi wana uwezo mkubwa ila wanashindwa kuutumia wote ndani ya uwanja jambo linalofanya matokeo yasiwe mazuri.


“Kuna wachezaji wengi ambao nimewaona na wana uwezo mkubwa ila wamekuwa wakishindwa kuutumia wote. Imefika wakati ambapo wachezaji wanatakiwa kujituma mwanzo mwisho ili kupata matokeo chanya.


“Suala la kushindwa kupata matokeo ugenini hili linasumbua na sio la kufurahisha hivyo ni jukumu la wachezaji kuweza kuwa sawa na kufanya kitu kizuri zaidi ndani ya uwanja,” amesema.


Machi 15 na 18 kikosi cha Stars kinatarajia kucheza mechi mbili za kirafiki dhidi ya Kenya ili kuweza kujenga hali ya kujiamini.


Chanzo:Championi



Credit: SALEH JEMBE

Please subscribe to get all sports news instantly
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: KOCHA WA TIMU YA TAIFA POULSEN ATAKA WACHEZAJI KUJITUMA
KOCHA WA TIMU YA TAIFA POULSEN ATAKA WACHEZAJI KUJITUMA
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjNLBU2jkf041eZhEdZLtSz1sRN9_fT34jrpc5kye5eYcZ7DIXaiA-DemOAKGwishGzywdxPIt5-t2x8ajc-sPhD_CrKtTdftDz2yBx_UfTmS9RVHSPfOXdpZZ87idA86QiUEVl5U39R2s8/w640-h408/Poulsen.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjNLBU2jkf041eZhEdZLtSz1sRN9_fT34jrpc5kye5eYcZ7DIXaiA-DemOAKGwishGzywdxPIt5-t2x8ajc-sPhD_CrKtTdftDz2yBx_UfTmS9RVHSPfOXdpZZ87idA86QiUEVl5U39R2s8/s72-w640-c-h408/Poulsen.jpg
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/03/kocha-wa-timu-ya-taifa-poulsen-ataka.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/03/kocha-wa-timu-ya-taifa-poulsen-ataka.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy