MSHAMBULIAJI wa kikosi cha Kagera Sugar, Yusuph Mhilu amesema kuwa walimuahidi mwalimu wao, (Francis Baraza) ushindi ili kumfariji ila walik...
MSHAMBULIAJI wa kikosi cha Kagera Sugar, Yusuph Mhilu amesema kuwa walimuahidi mwalimu wao, (Francis Baraza) ushindi ili kumfariji ila walikwama kwa kufungwa mabao 2-1 dhidi ya Simba kwenye mchezo wa Kombe la Shirikisho hatua ya 16 bora.
Credit: SALEH JEMBE
Please subscribe to get all sports news instantly
Nyota huyo amesema kuwa sababu kubwa iliyowafanya wakapoteza ni kufanya makosa kwenye mchezo huo uliochezwa Uwanja wa Mkapa. Pia ameeleza kuwa anaweza kuondoka ndani ya kikosi hicho ikiwa atapata ofa.
Credit: SALEH JEMBE
Please subscribe to get all sports news instantly
COMMENTS