BODI YA LIGI KUKAGUA VIWANJA VYOTE VITAKAVYOTUMIKA 2021/22
HomeMichezo

BODI YA LIGI KUKAGUA VIWANJA VYOTE VITAKAVYOTUMIKA 2021/22

 KUELEKEA msimu mpya wa 2021/22 ambao unatarajiwa kuwa na ushindani mkubwa, Bodi ya Ligi Kuu Tanzania Bara ,(TPLB) imepanga kumaliza zoezi...


 KUELEKEA msimu mpya wa 2021/22 ambao unatarajiwa kuwa na ushindani mkubwa, Bodi ya Ligi Kuu Tanzania Bara ,(TPLB) imepanga kumaliza zoezi la kukagua viwanja  vitakavyotumika ifikapo Agosti 31.

Mtendaji Mkuu wa TPLB, Almas Kasongo amesema kuwa ni lazima timu ziweze kufanya maboresho ya viwanja vyao mapema kabla ya kukaguliwa kwa ajili ya matumizi kwenye mechi zao.

"Timu zote ni lazima zizingatie huo utaratibu wa kufanya marekebisho na kuboresha viwanja vyao mapema kwa ajili ya matumizi.

"Tunatarajia kufikia Agosti 31 timu zote ziwe zimekamilisha zoezi hilo na kwa timu ambazo hazitafuata maelekezo basi zitachukuliwa hatua.

"Mara baada ya ligi kuanza tunataka mazingira yawe sawa ili timu zitakapocheza zicheze katika ubora nyumbani na ugenini," amesema.



Credit: SALEH JEMBE

Please subscribe to get all sports news instantly
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: BODI YA LIGI KUKAGUA VIWANJA VYOTE VITAKAVYOTUMIKA 2021/22
BODI YA LIGI KUKAGUA VIWANJA VYOTE VITAKAVYOTUMIKA 2021/22
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEj5K08YZHGjfba0CHfzWJ9aLikIc87gdjeTOK7uQVImCdeb3NoG7nJ2HkCVoRYh0HMe0BCVoJAFVkVfMc8dvbw-7kIP9gvCaqiE-8tj7I_VSUMd9l8VV9AlBaXahpY1DFLzuYlLBBDH9BRL/w640-h328/Sokoine.PNG
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEj5K08YZHGjfba0CHfzWJ9aLikIc87gdjeTOK7uQVImCdeb3NoG7nJ2HkCVoRYh0HMe0BCVoJAFVkVfMc8dvbw-7kIP9gvCaqiE-8tj7I_VSUMd9l8VV9AlBaXahpY1DFLzuYlLBBDH9BRL/s72-w640-c-h328/Sokoine.PNG
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/08/bodi-ya-ligi-kukagua-viwanja-vyote.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/08/bodi-ya-ligi-kukagua-viwanja-vyote.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy