NAMUNGO FC KAMILI KUIVAA RAJA CLUB KOMBE LA SHIRIKISHO
HomeMichezo

NAMUNGO FC KAMILI KUIVAA RAJA CLUB KOMBE LA SHIRIKISHO

  HEMED Morroco, Kocha Mkuu wa Klabu ya Namungo FC amesema kuwa wapo tayari kwa ajili ya mchezo wa leo dhidi ya Raja Club Athletics. Mch...

 


HEMED Morroco, Kocha Mkuu wa Klabu ya Namungo FC amesema kuwa wapo tayari kwa ajili ya mchezo wa leo dhidi ya Raja Club Athletics.

Mchezo wa leo Machi 10 ni hatua ya makundi ya Kombe la Shirikisho unatarajiwa kuchezwa majira ya saa 1:00 usiku kwa saa za Afrika Mashariki.

Huu ni msimu wa kwanza kwa Namungo kushiriki mashindano ya kimataifa na kutinga hatua hii kubwa ambayo ni rekodi ya kujivunia kwa Namungo ambayo inapeperusha bendera ya Tanzania. 

Morocco amesema kuwa wanatambua mchezo huo utakuwa mgumu ila watapambana kupata matokeo chanya.

"Tupo kwa ajili ya Tanzania hivyo kazi yetu itakuwa ni kusaka ushindi licha ya ushindani ambao upo na hilo lipo wazi.

"Kikubwa mashabiki watuombee dua ili tuanze vizuri na wachezaji pia wapo na morali kubwa katika kusaka matokeo," .



Credit: SALEH JEMBE

Please subscribe to get all sports news instantly
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: NAMUNGO FC KAMILI KUIVAA RAJA CLUB KOMBE LA SHIRIKISHO
NAMUNGO FC KAMILI KUIVAA RAJA CLUB KOMBE LA SHIRIKISHO
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEi1JF064na0GzqhkHoRE_BvibWuI0x9NfrbDCUUAKoDPmHHI_XqIHMPN2PHuTyhdGwvZ7XrbpO66bqSUdoyoRSil-kXEtnL1AdA6OwTMAr4G9hDAeVF_dJmrNfuUcJAnN519tpqSbnIFG46/w512-h640/IMG_20210310_115538_693.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEi1JF064na0GzqhkHoRE_BvibWuI0x9NfrbDCUUAKoDPmHHI_XqIHMPN2PHuTyhdGwvZ7XrbpO66bqSUdoyoRSil-kXEtnL1AdA6OwTMAr4G9hDAeVF_dJmrNfuUcJAnN519tpqSbnIFG46/s72-w512-c-h640/IMG_20210310_115538_693.jpg
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/03/namungo-fc-kamili-kuivaa-raja-club.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/03/namungo-fc-kamili-kuivaa-raja-club.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy