NCHIMBI: KUFUNGA MBELE YA GWAMBINA FC KUMENIONGEZEA HALI YA KUJIAMINI
HomeMichezo

NCHIMBI: KUFUNGA MBELE YA GWAMBINA FC KUMENIONGEZEA HALI YA KUJIAMINI

 NYOTA wa Yanga, Ditram Nchimbi ameweka wazi kuwa kufunga kwake bao mbele ya Gwambina FC kumemuongezea nguvu ya kuweza kujiamini zaidi kwa...

RAHEEM AIGOMEA CITY KUWA CHAMBO
NYOTA HAWA 7 WATAJWA KUINGIA ANGA ZA YANGA ILI WAMWAGE SAINI
URENO YATINGA 16 BORA, RONALDO NA MSHIKAJI WAKE BENZEMA WAKIWASHA

 NYOTA wa Yanga, Ditram Nchimbi ameweka wazi kuwa kufunga kwake bao mbele ya Gwambina FC kumemuongezea nguvu ya kuweza kujiamini zaidi kwa ajili ya mechi zinazofuata.

Mshambuliaji huyo mzawa hakufunga kwa muda wa mwaka mmoja jambo ambalo lilifanya mashabiki kumlalamikia kwamba hawezi kufunga.

Bao lake hilo alifunga mbele ya Gwambina FC, Uwanja wa Mkapa wakati wakishinda mabao 3-1.

Nchimbi ambaye kwenye mechi zote za Kariakoo Dabi za ligi amecheza anapewa nafasi ya kuanza katika mchezo ujao dhidi ya Simba, Mei 8.

Nyota huyo amesema:"Kufunga mbele ya Gwambina kwangu ni furaha na kunaongeza hali ya kujiamini kwa ajili ya mechi nyingine zijazo.

"Imani yangu ni kwamba ikiwa nitaendelea kupata nafasi itakuwa rahisi kwangu kufunga mabao mengi zaidi," .



Credit: SALEH JEMBE

Please subscribe to get all sports news instantly
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: NCHIMBI: KUFUNGA MBELE YA GWAMBINA FC KUMENIONGEZEA HALI YA KUJIAMINI
NCHIMBI: KUFUNGA MBELE YA GWAMBINA FC KUMENIONGEZEA HALI YA KUJIAMINI
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEiyRTjIPV7rI1MCaKxufRC3ScrPWXH8jpwfFq0OI3OI84ET_4LC7xjjsGxmZQ1NT9hS8GVzUvSLpRLD5VApc04wzT1LG1Gfx3JJCZSJhzTVUEDCTJXg8xXH0KYlb-Ny9uE5p59F6V0M0Nun/w476-h640/duma.PNG
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEiyRTjIPV7rI1MCaKxufRC3ScrPWXH8jpwfFq0OI3OI84ET_4LC7xjjsGxmZQ1NT9hS8GVzUvSLpRLD5VApc04wzT1LG1Gfx3JJCZSJhzTVUEDCTJXg8xXH0KYlb-Ny9uE5p59F6V0M0Nun/s72-w476-c-h640/duma.PNG
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/05/nchimbi-kufunga-mbele-ya-gwambina-fc.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/05/nchimbi-kufunga-mbele-ya-gwambina-fc.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy