MAYELE AJIPA KAZI YANGA
HomeMichezo

MAYELE AJIPA KAZI YANGA

 FISTON Mayele, mshambuliaji wa Yanga amesema kuwa bado wanahitaji pointi tatu katika mechi ambazo watacheza hivyo mapambano yanaendelea. ...

OMOG AKABIDHIWA MIKOBA YA HITIMANA ALIYEIBUKIA SIMBA
NYOTA SABA KIKOSI CHA KWANZA KUUZWA NA MANCHESTER UNITED
SIMULIZI YA MSHIKAJI ALIYEKIMBIWA KISA MKWANJA

 FISTON Mayele, mshambuliaji wa Yanga amesema kuwa bado wanahitaji pointi tatu katika mechi ambazo watacheza hivyo mapambano yanaendelea.


Yanga inayonolewa na Kocha Mkuu, Nasreddine Nabi jana iliibuka na ushindi wa bao 1-0 dhidi ya JKU SC katika mchezo wa kirafiki uliochezwa Uwanja wa Mkaoa.


Ni Mayele mwenyewe alipachika bao hilo la ushindi kipindi cha kwanza ambalo lilidumu mpaka mwisho wa mchezo huo ambao ulikuwa na ushindani mkubwa. 


Mayele amesema:"Bado kazi inaendelea kwa kuwa tuna mechi za kucheza kwenye ligi kikubwa ambacho tunahitaji ni kupata pointi tatu,kazi kubwa tutaifanya.


"Ili tufanikishe malengo ambayo tunayahitaji ni kupambana na kupata ushindi hakuna namna nyingine, ".


Katika mechi mbili za Ligi Kuu Bara, Mayele ametumia dakika 152 na hajafunga bao kwenye mechi hizo ilikuwa Kagera Sugar 0-1 Yanga na Yanga 1-0 Geita Gold. 



Credit: SALEH JEMBE

Please subscribe to get all sports news instantly
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: MAYELE AJIPA KAZI YANGA
MAYELE AJIPA KAZI YANGA
https://blogger.googleusercontent.com/img/a/AVvXsEjzR8hVnQi7x098cPDHUjHSGUrlaR2zMOZjqbsHxlJpKBJhSs9l-za00TLxegJqibU7vB10jHkG5p3jbLpUresE2lIYDpOFdzJopgO1Zzu4O532AWZMT1Rj_mbp4SawB9z2A3ly8KCpgGv2PwXr1QVEuJ3382bcJ-La0ZXNAf7k4uxj27TGlvdwLNgWkQ=w636-h640
https://blogger.googleusercontent.com/img/a/AVvXsEjzR8hVnQi7x098cPDHUjHSGUrlaR2zMOZjqbsHxlJpKBJhSs9l-za00TLxegJqibU7vB10jHkG5p3jbLpUresE2lIYDpOFdzJopgO1Zzu4O532AWZMT1Rj_mbp4SawB9z2A3ly8KCpgGv2PwXr1QVEuJ3382bcJ-La0ZXNAf7k4uxj27TGlvdwLNgWkQ=s72-w636-c-h640
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/10/mayele-ajipa-kazi-yanga.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/10/mayele-ajipa-kazi-yanga.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy