MESSI BWANA HATA HAJAITAJA BARCELONA ISHU YA UBINGWA UEFA
HomeMichezo

MESSI BWANA HATA HAJAITAJA BARCELONA ISHU YA UBINGWA UEFA

  STAA wa Klabu ya Paris Saint-Germain, (PSG) Lionel Messi ametaja baadhi ya timu ambazo anaamini kwamba zinaweza kutwaa ubingwa wa Ligi ...

VIDEO: HAJI MANARA ATANGAZA VITA SIMBA,APANIA KUIA SIMBA,KESI YA MORISSON YAFUNIKWA
VIDEO: KOCHA YANGA ANAAMINI KUNA JAMBO AMELIPATA, SAIDO ATUMA UJUMBE
KIKOSI CHA KWANZA CHA SIMBA MSIMU MPYA 2021/22

 


STAA wa Klabu ya Paris Saint-Germain, (PSG) Lionel Messi ametaja baadhi ya timu ambazo anaamini kwamba zinaweza kutwaa ubingwa wa Ligi ya Mabingwa Ulaya msimu huu huku timu yake ya zamani ya Barcelona ikiwa haijatajwa.


Ikumbukwe kwamba Messi aliibuka ndani ya kikosi cha PSG akitokea Barcelona ambapo alijiunga bure baada ya dili lake kuisha na ilishindikana kuongezewa mkataba mpya kutokana na utaratibu ambao uliwekwa na La Liga katika suala la gharama za usajili.


Alipoulizwa kuhusu timu anayoamini kwamba inaweza kutwaa ubingwa huo Messi aliweka wazi kwamba wengi wanaitaja PSG kuwa inaweza kutwaa ubingwa huo lakini anaamini kwamba zipo nyingine zinaweza kutwaa taji hilo.


Timu ambazo alitaja ni Chelsea,  Manchester United,  Manchester City, Real Madrid, Bayern Munich, Inter Milan huku akiweka wazi kwamba hafahamu kama kuna timu ambayo ameisahau katika orodha hiyo.


"Kuna Chelsea,  Manchester United, Manchester City, Real Madrid ambao kila siku wamekuwa wakifanya vizuri lakini pia kuna Bayern Munich na Inter Milan, sifahamu kama kuna ambayo nimeisahau,".



Credit: SALEH JEMBE

Please subscribe to get all sports news instantly
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: MESSI BWANA HATA HAJAITAJA BARCELONA ISHU YA UBINGWA UEFA
MESSI BWANA HATA HAJAITAJA BARCELONA ISHU YA UBINGWA UEFA
https://blogger.googleusercontent.com/img/a/AVvXsEizn5I_b84fjIe7Kw22QhAdP8qc2Osh1WHJp1zeRNC5-mJklqTNjduqYeYeeJVXh2gQAU0d2ppnMOBaiYgRw-4zJRRoByQwagSRrx4cEd65zMDxE_3apZJCJhwLsSUJ6o8l56FX2Zj_5BIuFhs0JiQwXbndzMX7M027BP03BNexdpqUyWx0ezaycw1UTA=w636-h640
https://blogger.googleusercontent.com/img/a/AVvXsEizn5I_b84fjIe7Kw22QhAdP8qc2Osh1WHJp1zeRNC5-mJklqTNjduqYeYeeJVXh2gQAU0d2ppnMOBaiYgRw-4zJRRoByQwagSRrx4cEd65zMDxE_3apZJCJhwLsSUJ6o8l56FX2Zj_5BIuFhs0JiQwXbndzMX7M027BP03BNexdpqUyWx0ezaycw1UTA=s72-w636-c-h640
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/10/messi-bwana-hata-hajaitaja-barcelona.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/10/messi-bwana-hata-hajaitaja-barcelona.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy