MECHI YA STARS V KENYA YAFUTWA, MECHI ZA NDANI KUSIMAMA NDANI YA WIKI MBILI
HomeMichezo

MECHI YA STARS V KENYA YAFUTWA, MECHI ZA NDANI KUSIMAMA NDANI YA WIKI MBILI

 SHIRIKISHO la Soka Tanzania, (TFF) limefuta mchezo wa kirafiki kati ya timu ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars dhidi ya Kenya, 'Haramb...

MANCHESTER UNITED YAHITAJI SAINI YA KANE
MUONEKANO WA UKURASA WA MBELE GAZETI LA CHAMPIONI IJUMAA
MUONEKANO WA UKURASA WA MBELE GAZETI LA CHAMPIONI IJUMAA

 SHIRIKISHO la Soka Tanzania, (TFF) limefuta mchezo wa kirafiki kati ya timu ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars dhidi ya Kenya, 'Harambee Stars'.

Mechi hiyo ilipaswa ichezwe leo jion Machi 18, jijini Nairobi ambapo tayari Machi 15, Stars iliambulia kichapo cha mabao 2-1 kwenye mchezo wa kirafiki.

Mechi ya leo imefutwa kwa sababu ya msiba wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, John Magufuli.

Taarifa rasmi iliyotolewa na TFF kupitia kwa Ofisa Habari wa TFF, Cliford Ndimbo imeeleza kuwa Stars itaendelea kuweka kambi Kenya kwa ajili ya maandalizi ya mechi ya kufuzu Afcon dhidi ya Equatorial Guinea. 

Pia mechi zote za ndani nazo zitasimama kwa muda wa wiki mbili ili kuungana na Watanzania wote kuomboleza msiba wa Rais wa Tanzania, John Pombe Magufuli.



Credit: SALEH JEMBE

Please subscribe to get all sports news instantly
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: MECHI YA STARS V KENYA YAFUTWA, MECHI ZA NDANI KUSIMAMA NDANI YA WIKI MBILI
MECHI YA STARS V KENYA YAFUTWA, MECHI ZA NDANI KUSIMAMA NDANI YA WIKI MBILI
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjmn_QC5hpGT1jPWgDrrzCwyIVvdzzJoSCubKQyTchJWhyASqgHJMxlm_p11YuD9uIEEd1Zjsjn1g4jAIORBBgJmnbSZAUIEMS7yDvkY_kNNAJx8Fx5h2fwybGkgxVlCOZDKgUBmMo9qmBF/w640-h462/Stars+Kenya.JPG
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjmn_QC5hpGT1jPWgDrrzCwyIVvdzzJoSCubKQyTchJWhyASqgHJMxlm_p11YuD9uIEEd1Zjsjn1g4jAIORBBgJmnbSZAUIEMS7yDvkY_kNNAJx8Fx5h2fwybGkgxVlCOZDKgUBmMo9qmBF/s72-w640-c-h462/Stars+Kenya.JPG
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/03/mechi-ya-stars-v-kenya-yafutwa-mechi-za.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/03/mechi-ya-stars-v-kenya-yafutwa-mechi-za.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy