KOCHA YANGA AANZA NA KUTATUA TATIZO LA UBUTU WA SARPONG
HomeMichezo

KOCHA YANGA AANZA NA KUTATUA TATIZO LA UBUTU WA SARPONG

  KAIMU Kocha Mkuu wa Yanga, Juma Mwambusi ameamua kulifanyia kazi tatizo linalomfanya kutokufunga straika wa timu hiyo, Michael Sarpong k...

VIDEO: NAHODHA WA TIWGA STARS AFUNGUKA KUHUSU MAANDALIZI
HATMA YA POGBA NDANI YA UNITED YASHIKILIWA NA EUROPA
MWENDO WA MCHAKAMCHAKA LEO MWADUI V YANGA

 KAIMU Kocha Mkuu wa Yanga, Juma Mwambusi ameamua kulifanyia kazi tatizo linalomfanya kutokufunga straika wa timu hiyo, Michael Sarpong kwa kumpa mazoezi ya kufumania nyavu kila mara ili aweze kuondoa wasiwasi ambao unatajwa kuwa ndiyo uchawi pekee na chanzo cha kushuka kwa ufungaji wake.

 

Sarpong alisajiliwa na Yanga, akitokea Rayon Sports ya Rwanda, ambapo hadi sasa amefanikiwa kufunga mabao 4 kwenye Ligi Kuu Bara, jambo linalowafanya mabosi wake wa Yanga na mashabiki kutofurahishwa na mwenendo wa ufungaji wake ambapo sasa kocha wake, Mwambusi ameamua kumtibu.

 

Habari zimeeleza kuwa, tayari Mwambusi ameamua kulivalia njumu suala la ubutu wa mabao katika kikosi hicho, kwa kumpa muda mwingi wa kufanya mazoezi ya kufunga sambamba na wachezaji wenzake kama Fiston Abdoul Razack na Yacouba Sogne.


“Kuna uwezekano mkubwa wa ligi kurejea Sarpong akaanza kutupia kila mechi, maana kocha Mwambusi ameshagundua tatizo lake hilo ambapo tayari kwenye mazoezi yake ameonekana akiwahimiza zaidi mastraika wote kuhakikisha wanafanyia mazoezi ya kina katika suala hilo la ufungaji ili kuondoa ukame wa mabao tena,” kilisema chanzo hicho.

 

Akizungumzia hilo Mwambusi ambaye amechukua mikoba ya Cedric Kaze alisema: “Program zangu zote moja ya lengo ni kuhakikisha nafanyia kazi safu ya ushambuliaji na kwa sasa naangalia utimamu wa mwili kwa mchezaji mmoja mmoja na baada ya hapo nitatengeneza muunganiko wa jumla ili ligi itaporudi tatizo liwe limekwisha.”


Chanzo: Championi



Credit: SALEH JEMBE

Please subscribe to get all sports news instantly
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: KOCHA YANGA AANZA NA KUTATUA TATIZO LA UBUTU WA SARPONG
KOCHA YANGA AANZA NA KUTATUA TATIZO LA UBUTU WA SARPONG
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhg0B7DCeQO8JHVjRiC6b48YHHJKBQIY5Psccoi08TcE7Sf_w5DKpK9M0RJffBu7Aw3SM5d6V9_QDqxsF19zLFjuExbVla_sv3oMPpONxY9JT25kOBEhfscLGu4JxnR1G8J5hiMyuXo3qIp/w520-h640/Sarpong+Mara.PNG
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhg0B7DCeQO8JHVjRiC6b48YHHJKBQIY5Psccoi08TcE7Sf_w5DKpK9M0RJffBu7Aw3SM5d6V9_QDqxsF19zLFjuExbVla_sv3oMPpONxY9JT25kOBEhfscLGu4JxnR1G8J5hiMyuXo3qIp/s72-w520-c-h640/Sarpong+Mara.PNG
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/03/kocha-yanga-aanza-na-kutatua-tatizo-la.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/03/kocha-yanga-aanza-na-kutatua-tatizo-la.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy