LEO Mei 8, Uwanja wa Mkapa mchezo wa watani wa jadi kati ya Simba v Yanga unatarajiwa kuchezwa Uwanja wa Mkapa. Hiki hapa kikosi ch...
LEO Mei 8, Uwanja wa Mkapa mchezo wa watani wa jadi kati ya Simba v Yanga unatarajiwa kuchezwa Uwanja wa Mkapa.
Hiki hapa kikosi cha Simba kinachotarajiwa kuanza leo kusaka pointi tatu kwa mujibu wa gazeti la Championi Jumamosi:-
Aishi Manula
Shomari Kapombe
Joash Onyango
Pascal Wawa
Mohamed Hussein
Luis Miqussone
Taddeo Lwanga
Larry Bwalya
Chris Mugalu
Mzamiru Yassin
Clatous Chama
Credit: SALEH JEMBE
Please subscribe to get all sports news instantly
COMMENTS