Muonekano wa eneo la Bamaga, Dar baada ya mvua kunyesha leo . Watembea kwa miguu wakitembea kwa taabu kuvuka eneo la Bamaga. ...
KAMERA
za GPL leo zimetembelea eneo la Bamaga-Mwenge jijini Dar na kushuhudia
athari za mvua iliyonyesha leo na kusababisha maji kujaa katika barabara
ya Shekilango.
Mpiga picha wetu alishuhudia wananchi wakipata tabu kuvuka eneo hilo lililojaa maji na kusababisha usumbufu.
COMMENTS