Visa yakwamisha safari ya Miss Tanzania kushiriki Miss World 2021
HomeHabari

Visa yakwamisha safari ya Miss Tanzania kushiriki Miss World 2021

Mwakilishi wa Tanzania katika shindano la urembo la dunia (Miss World)  kwa mwaka huu Juliana Rugumisa,  hatoweza kushiriki shindano hilo...


Mwakilishi wa Tanzania katika shindano la urembo la dunia (Miss World)  kwa mwaka huu Juliana Rugumisa,  hatoweza kushiriki shindano hilo lililopangwa kufanyika tarehe 16 mwezi huu nchini Puerto Rico kutokana na kukosa Visa.

Waandaaji wa Miss Tanzania wameeleza kwamba kutokana na changamoto Ugonjwa wa Virusi Korona (UVIKO19) kumekuwa na changamoto ya upatikanaji wa viza

Taarifa hiyo imetolewa na uongozi wa Kamati ya Miss Tanzania kupitia mtandao wake wa Instagram.

“Kesho Tarehe 3 December 2021 ndio mwisho wa kuingia kambi ya Miss World baada ya nchi nyingi kupata changamoto ya kuchelewa kupata Visa ya Marekani kwa wakati. Miss World wakaongeza muda na kuruhusu hadi ikifika hiyo kesho iwe mwisho.” imeeleza taarifa hiyo.

Tayari Wawakilishi kutoka nchi mbalimbali duniani wameshawasili nchini Puerto Rico kushiriki shindano hilo kubwa la urembo duniani.

“Hii ndio kusema kwa mwaka huu haitawezekana tena, hata hivyo mwisho wa mashindano ndio mwanzo wa mashindano yajayo, tunashukuru sana wadau wetu Miss World kwa jitihada kubwa na kuhakikisha hadi tunapata appointment mapema badala ya Januari.“ imeongeza taarifa hiyo ya uongozi wa  Kamati ya Miss Tanzania



 


Credit: MPEKUZI

Thanks for your time please share with your friends
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: Visa yakwamisha safari ya Miss Tanzania kushiriki Miss World 2021
Visa yakwamisha safari ya Miss Tanzania kushiriki Miss World 2021
https://blogger.googleusercontent.com/img/a/AVvXsEg3t4RNPrlRtqGWH4L6W_1DFVsBNao0RimafzD-SBByXZVxfopk9_Hyrnc5WPZQHgcWGUCgvzWG1jF8uYKb1SLHQi-eyKMK7aOV7zIqsCiHNG6ghOkTQypxTYpj6tlq9Es9FCcF0di15I4xhLmiYE3lOpl3RuV-0gttKdesXidjUyg9uDancN5uY1q4cQ=s16000
https://blogger.googleusercontent.com/img/a/AVvXsEg3t4RNPrlRtqGWH4L6W_1DFVsBNao0RimafzD-SBByXZVxfopk9_Hyrnc5WPZQHgcWGUCgvzWG1jF8uYKb1SLHQi-eyKMK7aOV7zIqsCiHNG6ghOkTQypxTYpj6tlq9Es9FCcF0di15I4xhLmiYE3lOpl3RuV-0gttKdesXidjUyg9uDancN5uY1q4cQ=s72-c
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/12/visa-yakwamisha-safari-ya-miss-tanzania.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/12/visa-yakwamisha-safari-ya-miss-tanzania.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy