MANCHESTER UNITED IMETOA OFA YA €30 MILLION KUMPATA MCHEZAJI HUYU>>> Picha zake ziko hapa
HomeMichezoKimataifa

MANCHESTER UNITED IMETOA OFA YA €30 MILLION KUMPATA MCHEZAJI HUYU>>> Picha zake ziko hapa

Manchester United imeshaanza kujipanga kwa ajili ya msimu ujao baada ya msimu huu kuelekea mwishoni. Kiasi cha €30 million zimetengwa ...



Manchester United imeshaanza kujipanga kwa ajili ya msimu ujao baada ya msimu huu kuelekea mwishoni. Kiasi cha €30 million zimetengwa kwa ajili ya kumnasa mkali huyu.
Kwa muda sasa hivi Man United wamekua imehusishwa na uhamisho wa Hummels. Hummels ambae alionekana kuwa ni defender bora kwenye kombe la dunia anaonekana ni mmoja kati ya mastaa wanatarajiwa kusepa Borussia Dortmund.
Kutokana na kocha Jurgen Klopp kutangaza kusepa mwishoni mwa msimu huu basi kuna mwanya mkubwa wa mastaa wa timu hiyo kusepa pia.
Kiasi cha €30 million kimetolewa kama offer ya kwanza kumnasa Mats Hummeles ana miaka 26, amecheza mechi 181 tangu asajiliwe rasmi na Borussia na amefunga magoli 16 akicheza nafasi ya Center defender.

over
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: MANCHESTER UNITED IMETOA OFA YA €30 MILLION KUMPATA MCHEZAJI HUYU>>> Picha zake ziko hapa
MANCHESTER UNITED IMETOA OFA YA €30 MILLION KUMPATA MCHEZAJI HUYU>>> Picha zake ziko hapa
http://shaffihdauda.co.tz/wp-content/uploads/2015/04/over2.jpg
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2015/04/manchester-united-imetoa-ofa-ya-30.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2015/04/manchester-united-imetoa-ofa-ya-30.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy