WASOMALI WATAJA KILICHOWAKWAMISHA BONGO
HomeMichezo

WASOMALI WATAJA KILICHOWAKWAMISHA BONGO

  KOCHA Mkuu wa Horseed FC ya Somalia amesema kuwa wachezaji wake walijitahidi kusaka ushindi ila ilikuwa ngumu kutokana na upinzani mkub...

 


KOCHA Mkuu wa Horseed FC ya Somalia amesema kuwa wachezaji wake walijitahidi kusaka ushindi ila ilikuwa ngumu kutokana na upinzani mkubwa kutoka kwa Azam FC.

Horseed FC katika mchezo wa jana wa Kombe la Shirikisho mbele ya Azam FC ilipaswa kushinda mabao zaidi ya matatu kwa kuwa mchezo wa awali ilipoteza kwa kufungwa mabao 3-1 na jana ilikubali kuona ubao wa Uwanja wa Azam Complex ukisoma Horseed FC 0-1 Azam FC.

  Akizungumza na Saleh Jembe, Kocha Mkuu wa Horseed FC, Mohamed Hussein Ahmed amesema kuwa walikuja na mbinu mpya ya kupata ushindi ila ilishindikana kutojana na wachezaji wake kukosa umakini katika kumalizia nafasi za mwisho.

"Wachezaji walikuwa na kazi kubwa ninawapongeza kwa kuwa hawajaruhusu mabao mengi ila ile hali ya kushinda ilikosekana.

"Unajua ukiwa unacheza na timu ambayo inawachezaji wenye ushindani mkubwa basi kila mmoja anahitaji kupata matokeo na ikishindikana tunasema ni sehemu ya mchezo.

"Nawapongeza wachezaji wamefanya kazi kubwa wanahitaji pongezi ni wakati wetu wa kuangalia pale ambapo tumekosea ili tuweze kufanya vizuri wakati ujao," amesema.



Credit: SALEH JEMBE

Please subscribe to get all sports news instantly
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: WASOMALI WATAJA KILICHOWAKWAMISHA BONGO
WASOMALI WATAJA KILICHOWAKWAMISHA BONGO
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEg8KMV0xe_7ukKgSZJX7sVvYo6XSb7h0i0Q1inabRNhlzuqyE2FHOYMhV309KTt3itlN5GNewY79Uu1Jpkw8JJSSL_QDcjBRQpAipDC-sBDXjB3riA86EGoLwZCS_SSQy8P5dix9LWk0pzI/w640-h640/242219851_281822530425004_8191339530887229788_n.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEg8KMV0xe_7ukKgSZJX7sVvYo6XSb7h0i0Q1inabRNhlzuqyE2FHOYMhV309KTt3itlN5GNewY79Uu1Jpkw8JJSSL_QDcjBRQpAipDC-sBDXjB3riA86EGoLwZCS_SSQy8P5dix9LWk0pzI/s72-w640-c-h640/242219851_281822530425004_8191339530887229788_n.jpg
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/09/wasomali-wataja-kilichowakwamisha-bongo.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/09/wasomali-wataja-kilichowakwamisha-bongo.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy