SIMBA YAWEKEWA MKWANJA MREFU KUIMALIZA AL MERRIKH, MILIONI 200 MEZANI
HomeMichezo

SIMBA YAWEKEWA MKWANJA MREFU KUIMALIZA AL MERRIKH, MILIONI 200 MEZANI

  KATIKA kuwaongezea morali na hali ya kujituma katika mchezo wa tatu wa hatua ya makundi kwenye Ligi ya Mabingwa Afrika, Mwenyekiti wa Bo...

EXCLUSIVE: VIDEO:MASAU BWIRE ATUPA DONGO KIMTINDO YANGA KISA UBINGWA,KUIPA SAPOTI SIMBA
RONALDO ANAVUNJA REKODI KIBABE TU
NABI AANZA NA MAKAMBO,BANDA ATAJA KILICHOMLETA SIMBA, NDANI YA SPOTI XTRA ALHAMISI

 KATIKA kuwaongezea morali na hali ya kujituma katika mchezo wa tatu wa hatua ya makundi kwenye Ligi ya Mabingwa Afrika, Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Simba, Mohammed Dewji ‘Mo’,amewaahidi  Sh 200 Mil kwa Simba.


Leo Simba iliyo nafasi ya kwanza kwenye Kundi A katika michuano hiyo na pointi sita,ipo Sudan ambapo ina kazi ya kupambana na wenyeji wao, Al Merrikh.

Upinzani leo unatarajiwa kuwa mkali kwa sababu Al Merrikh imepoteza michezo miwili mfululizo dhidi ya Al Ahly na AS Vita.


Kwa mujibu wa taarifa ambazo imezipata Spoti Xtra, bilionea huyo aliwapa maneno mazuri ya kuwaongezea morali wachezaji na kikubwa akihitaji ushindi ili kuendelea kukaa kileleni katika msimamo wa kundi lao.

 

Mtoa taarifa huyo alisema wachezaji kwa pamoja walimuahidi bosi huyo kupambana na kurejea nyumbani na pointi tatu ili kufanikisha malengo ya kufika hatua ya robo fainali ya michuano hiyo.Aliongeza kuwa, mamilioni hayo wameahidiwa kupewa mara baada ya timu hiyo itakaporejea nchini ikitokea Sudan.

 

“Wachezaji washindwe wenyewe katika msimu huu, kwani kama wakijitahidi kupambana katika michuano hii mikubwa ya kimataifa, basi watajipatia fedha nyingi kwani kila mechi wanaahidiwa fedha.

 

“Mchezo uliopita dhidi ya Al Ahly waliwekewa Sh 400Mil kama watawafunga, wakapambana wakapata ushindi na pesa hiyo imekuwa nyingi kutokana na ukubwa wa timu ambayo tuliyocheza nayo.

 

“Na katika kueleke mchezo dhidi ya Merrikh, Mo ameahidi kuwapa wachezaji kitita cha Sh 200Mil kama watafanikiwa kupata ushindi wa ugenini, hii ni baada ya kukutana na wachezaji na kufanya kikao nao,” alisema mtoa taarifa huyo.

 

Akizungumzia hilo, katibu mkuu wa timu hiyo, Arnold Kashembe, alisema kuwa: “Kila mechi kuna ahadi ya fedha ambayo tunaitenga, hivyo ni kawaida yetu.”



Credit: SALEH JEMBE

Please subscribe to get all sports news instantly
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: SIMBA YAWEKEWA MKWANJA MREFU KUIMALIZA AL MERRIKH, MILIONI 200 MEZANI
SIMBA YAWEKEWA MKWANJA MREFU KUIMALIZA AL MERRIKH, MILIONI 200 MEZANI
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjMIcobZOzaHL6v4f3_bHPALQyPhs5BSVrsizQJrHTdHuJYkzdgjYXuvPmjzQzJy4wn-lv5w6i6bVm-R22ogqRMbiA8TvK60MnjVS5HB6f9yZbtJMT4z8W59MOu8Gf34GUAKrCGb1FONqAo/w640-h456/Mo+Dew.PNG
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjMIcobZOzaHL6v4f3_bHPALQyPhs5BSVrsizQJrHTdHuJYkzdgjYXuvPmjzQzJy4wn-lv5w6i6bVm-R22ogqRMbiA8TvK60MnjVS5HB6f9yZbtJMT4z8W59MOu8Gf34GUAKrCGb1FONqAo/s72-w640-c-h456/Mo+Dew.PNG
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/03/simba-yawekewa-mkwanja-mrefu-kuimaliza.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/03/simba-yawekewa-mkwanja-mrefu-kuimaliza.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy