FAROUK SHIKALO AREJEA BONGO AKITOKEA KENYA
HomeMichezo

FAROUK SHIKALO AREJEA BONGO AKITOKEA KENYA

 FAROUK Shikalo, kipa bora kwenye mashindano ya Kombe la Mapinduzi  leo amerejea rasmi ardhi ya Bongo akitokea nchini Kenya ambako alikuwa...

WENGI WANARUDI BONGO WAKITOKA NJE, TATIZO NINI CHIPS AMA KUNA LINGINE?
YANGA HAWAPOI, WAIDUKUA MECHI YA SIMBA YOTE
MUONEKANO WA UKURASA WA MBELE GAZETI LA SPOTI XTRA JUMANNE

 FAROUK Shikalo, kipa bora kwenye mashindano ya Kombe la Mapinduzi  leo amerejea rasmi ardhi ya Bongo akitokea nchini Kenya ambako alikuwa amekwenda kwa mapumziko mafupi.

Akiwa ndani ya Yanga kwa msimu wa 2020/21 kwenye Ligi Kuu Bara alikaa langoni kwenye mchezo mmoja kati ya 18 ambayo timu yake imecheza.

Ilikuwa Uwanja wa Mkapa wakati Yanga ikilazimisha kufungana bao 1-1 dhidi ya Tanzania Prisons na kugawana pointi mojamoja na Prisons ambao hata kwenye mchezo wa pili, Uwanja wa Nelson Mandela ngoma ilikuwa 1-1 ila kipa alikuwa ni Metacha Mnata.

Kwenye Kombe la Mapinduzi alikaa langoni kwenye mechi nne na alifungwa bao moja ndani ya dakika 90 ilikuwa kwenye mchezo dhidi ya Azam FC wakati timu yake ikilazimisha sare ya kufungana bao 1-1.

Ilitinga fainali na kusepa na ushindi wa penalti 4-3 mbele ya watani zao wa jadi, Simba baada ya dakika 90 kukamilika kwa wababe hao kutoshana nguvu bila kufungana.

Baada ya ushindi wa Januari 13, wachezaji wa Yanga walio chini ya Kocha Mkuu, Cedric Kaze walipewa mapumziko maalumu ambapo leo wanaanza kurejea kambini kwa ajili ya maandalizi ya mechi za Ligi Kuu Bara.



Credit: SALEH JEMBE

Please subscribe to get all sports news instantly
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: FAROUK SHIKALO AREJEA BONGO AKITOKEA KENYA
FAROUK SHIKALO AREJEA BONGO AKITOKEA KENYA
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhVb-Lh6kjvverjGXeO6B_9OKwwVLHpGN9DmXQ9cii9hSCr2lFAxDo_mezXBK9M_Duo2ZWxQdLsGtQ_meksOJi-uyUhh7S5N81jqXeK6K1D_R49IVoGprdwg-mv0lzxXnoKiUZs2rdaZcws/w640-h632/Shikalo+Amaan.JPG
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhVb-Lh6kjvverjGXeO6B_9OKwwVLHpGN9DmXQ9cii9hSCr2lFAxDo_mezXBK9M_Duo2ZWxQdLsGtQ_meksOJi-uyUhh7S5N81jqXeK6K1D_R49IVoGprdwg-mv0lzxXnoKiUZs2rdaZcws/s72-w640-c-h632/Shikalo+Amaan.JPG
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/01/farouk-shikalo-arejea-bongo-akitokea.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/01/farouk-shikalo-arejea-bongo-akitokea.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy