KARIA, SIMBA, WATANZANIA WAMLILIA HANS POPE
HomeMichezo

KARIA, SIMBA, WATANZANIA WAMLILIA HANS POPE

  KUFUATIA taarifa za kutangulia mbele za haki kwa Zakaria Hans Pope aliyekuwa Mjumbe wa Bodi ya Wakurugezi ndani ya Simba, wachezaji pam...

WAKALI WA KUCHEKA NA NYAVU BONGO HAWA HAPA
TUISILA KISINDA AFUNGUKIA ISHU YAKE YA KUIBUKIA NDANI YA SIMBA
KIPA AZAM: PENALTI YA CHAMA ILIKUWA YA KAWAIDA

 


KUFUATIA taarifa za kutangulia mbele za haki kwa Zakaria Hans Pope aliyekuwa Mjumbe wa Bodi ya Wakurugezi ndani ya Simba, wachezaji pamoja na vongozi mbalimbali wamekuwa wakimlilia kiongozi huyo.

Pia Pope enzi za uhai wake alikuwa ni Mjumbe wa Kamati ya Sheria na Hadhi za Wachezaji ndani ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania, (TFF).

Taarifa zake zimetangazwa usiku wa kuamkia leo na kwa wakati huu familia ya michezo pamoja na Tanzania kiujumla inazidi kumuombea kheri na kumuombea apumzike kwa amani.

Pia Rais wa TFF, Wallace Karia juu ya kutangulia mbele za haki kwa Zakaria Hans Pope aliyefariki katika Hospitali ya Aga Khan.

Mbali na Karia pia habari kutoka kambi ya Simba Arusha imeeleza kuwa wachezaji wote wamepatwa na mshutuko kutokana na taarifa hizo.

Mtendaji Mkuu wa Simba, Barbara Gonzalez ameandika ujumbe huu:-"Leo moyo wangu ni mzito sana Mungu ailaze roho ya marehemu Zakaria Hans Poppe mahali pema peponi. May the Lord Almighty rest your beautiful soul in eternal peace ZHP. Mapenzi ya Mungu yatimizwe." .

Pia Mwenyekiti wa Klabu ya Simba, Murtaza Mangungu amesema:"Ninamfahamu kwa miaka mingi akiwa ni Mwana Simba mahiri , mwenye msimamo na ukweli. Ni mtu aliependa umoja na kupata mafanikio kwa jumla. Siku zote alikubali kutumikia klabu kwa moyo wake wote , bila kujali muda wake, mali au hasara”.




Credit: SALEH JEMBE

Please subscribe to get all sports news instantly
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: KARIA, SIMBA, WATANZANIA WAMLILIA HANS POPE
KARIA, SIMBA, WATANZANIA WAMLILIA HANS POPE
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEiktOUX0t1p8VMhi6U8-rweSaL-8VKOqv47L9NbpMB2V4x8-LLOShnoLQtBiNdkcoQvFMU_-HBUgFUsADFFmA8Y6_mFRv47NTq08gKZ0moGn4elz35wHgHDA9w9eRWaIkRj3wQ5nvsB9AEn/w640-h318/pOPEE.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEiktOUX0t1p8VMhi6U8-rweSaL-8VKOqv47L9NbpMB2V4x8-LLOShnoLQtBiNdkcoQvFMU_-HBUgFUsADFFmA8Y6_mFRv47NTq08gKZ0moGn4elz35wHgHDA9w9eRWaIkRj3wQ5nvsB9AEn/s72-w640-c-h318/pOPEE.jpg
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/09/karia-simba-watanzania-wamlilia-hans.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/09/karia-simba-watanzania-wamlilia-hans.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy