RONALDO ASHANGAZWA NA MASHABIKI
HomeMichezo

RONALDO ASHANGAZWA NA MASHABIKI

  CRISTIANO Ronaldo nyota wa Manchester United amesema kuwa ameshangazwa na mapokezi ya mashabiki wa timu hiyo huku akifurahia kuanza kaz...

MUONEKANO WA UKURASA WA MBELE GAZETI LA CHAMPIONI JUMATANO
MABOSI SIMBA WATANGULIA BOTSWANA,WAKWEPA HUJUMA, KAZI INAENDELEA
NEYMAR JR AFIKIRIA KUSTAAFU

 


CRISTIANO Ronaldo nyota wa Manchester United amesema kuwa ameshangazwa na mapokezi ya mashabiki wa timu hiyo huku akifurahia kuanza kazi kwa kutupia mabao katika mchezo wake wa kwanza ndanibya Ligi Kuu England kwa msimu wa 2021/22.


Ronaldo aliweza kuonyesha makeke yake katika mchezo uliochezwa Uwanja wa Old Trafford dhidi ya Newcastle United alitupia mabao mawili dakika ya 45 likasawazishwa na Javier Manquillo dk 56 na lile la pili alipachika dakika ya 62.


Mshikaji wake Bruno Fernandes alipachika  bao moja dakika ya 80 na Jesse Lingard alipachika bao moja dakika ya 90 huku Ronaldo akisema kuwa haamini alichokiona kwa namna mashabiki walivyokuwa wakiimba jina lake katika mchezo huo uliovuta hisia za mashabiki wengi.


Kocha Mkuu wa Manchester United,  Ole Gunnar Solskjaer amesema kuwa kiwango ambacho Ronaldo amekionyesha huku akisema kuwa ni kuhusu Manchester United na kila mmoja atapata kile anachotarajia.

Kwa upande wa Kocha Mkuu wa Newcastle United Steve Bruce amesema kuwa wamekasirishwa na matokeo hayo ila ni sehemu ya mchezo.



Credit: SALEH JEMBE

Please subscribe to get all sports news instantly
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: RONALDO ASHANGAZWA NA MASHABIKI
RONALDO ASHANGAZWA NA MASHABIKI
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgDCye7IpFmYCXJvpFwQjhHzqSSYpf-wkZ6X2XfaeF2vHM_0z9wNFOk87vglLyzke_pFz6bEIF1MQGhCv8XCGy8NsnUjzrTSE0aNhuiIUUtrPbpsWx0apdhRpXWhdO0G5QK6AVz9Y2-WXb5/w640-h360/Ronaldo+na+mashabiki.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgDCye7IpFmYCXJvpFwQjhHzqSSYpf-wkZ6X2XfaeF2vHM_0z9wNFOk87vglLyzke_pFz6bEIF1MQGhCv8XCGy8NsnUjzrTSE0aNhuiIUUtrPbpsWx0apdhRpXWhdO0G5QK6AVz9Y2-WXb5/s72-w640-c-h360/Ronaldo+na+mashabiki.jpg
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/09/ronaldo-ashangazwa-na-mashabiki.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/09/ronaldo-ashangazwa-na-mashabiki.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy