SIMBA KUWAPA MKWANJA WACHEZAJI WA DODOMA JIJI
HomeMichezo

SIMBA KUWAPA MKWANJA WACHEZAJI WA DODOMA JIJI

 UONGOZI wa Dodoma Jiji umeweka wazi kwamba kuelekea mchezo wa leo wa Kombe la Shirikisho dhidi ya Simba watatoa bonasi nono kwa wachezaji...

VIDEO: KUMBE WACHEZAJI WA SIMBA WALIPASWA KUSAJILIWA YANGA
MSIMAMO WA LIGI KUU TANZANIA BARA MZUNGUKO WA PILI
MANCHESTER CITY MABINGWA WA LIGI KUU ENGLAND

 UONGOZI wa Dodoma Jiji umeweka wazi kwamba kuelekea mchezo wa leo wa Kombe la Shirikisho dhidi ya Simba watatoa bonasi nono kwa wachezaji wake ikiwa watashinda.

Hivyo ikiwa wachezaji wa Dodoma Jiji watashinda mchezo wa leo mbele ya Simba basi watapewa mkwanja mrefu kwa ajili ya matumizi yao.

Dodoma Jiji inayonolewa na Kocha Mkuu, Mbwana Makata leo Mei 26 ina kibarua cha kusaka ushindi kwenye mchezo wa robo fainali dhidi ya Simba ambao ni mabingwa watetezi wa Kombe la Shirikisho.

Jana Mei 25 kikosi kilifanya maandalizi ya mwisho kwa ajili ya mchezo wa leo ambao unatarajiwa kuchezwa Uwanja wa Mkapa saa 1:00 usiku.

Ofisa Habari wa Dodoma Jiji, Mosez Mpunga amesema kuwa wapo tayari kwa ajili ya mchezo wa leo na wameweka bonasi ambayo itakuwa kubwa ikiwa wachezaji watashinda.

"Kawaida huwa tunaweka bonasi kwa wachezaji pale ambapo wanashinda mechi zao na sio mchezo huu bali kila mchezo huwa tunafanya hivi kwa kuwa tunahitaji ushindi.

"Lakini kutokana na umuhimu wa mechi yetu dhidi ya Simba basi tutaongeza bonasi ili kuweza kuwapa ari wachezaji wetu waweze kupata ushindi, mashabiki wajitokeze tupo tayari," amesema.

Mchezo wa leo nyota wao Anuary Jabir atakosekana pamoja na Rajab Mgangula kwa kuwa wanasumbuliwa ni majeruhi. 



Credit: SALEH JEMBE

Please subscribe to get all sports news instantly
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: SIMBA KUWAPA MKWANJA WACHEZAJI WA DODOMA JIJI
SIMBA KUWAPA MKWANJA WACHEZAJI WA DODOMA JIJI
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgmSdpNJCAADSTxqVWJPgGTJBf1qxaFEq6S4pQHIS9xBkBThjT7HtJ2r8B8LxqHUlqzXI_eW8HAGzFbKW78v20Y-v1Md-e9ZKOFN715fVDu1fpzxmdH6Nv2yWN_xWp1aIw4N7nAq3FvINkL/w640-h460/dodomajijifootballclub-191771229_332411361652759_1519982452381123486_n.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgmSdpNJCAADSTxqVWJPgGTJBf1qxaFEq6S4pQHIS9xBkBThjT7HtJ2r8B8LxqHUlqzXI_eW8HAGzFbKW78v20Y-v1Md-e9ZKOFN715fVDu1fpzxmdH6Nv2yWN_xWp1aIw4N7nAq3FvINkL/s72-w640-c-h460/dodomajijifootballclub-191771229_332411361652759_1519982452381123486_n.jpg
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/05/simba-kuwapa-mkwanja-wachezaji-wa.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/05/simba-kuwapa-mkwanja-wachezaji-wa.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy