MANCHESTER UNITED WAAMBULIA PATUPU, VILLARREAL YASEPA NA TAJI MAZIMA
HomeMichezo

MANCHESTER UNITED WAAMBULIA PATUPU, VILLARREAL YASEPA NA TAJI MAZIMA

 LICHA ya timu ya Manchester United kupewa asilimia kubwa ya kushinda taji la Europa League mambo yamekuwa magumu kwao baada ya kuliacha mik...

KARIA, SIMBA, WATANZANIA WAMLILIA HANS POPE
MECHI ZA KIMATAIFA KUCHEZWA BILA YA MASHABIKI
VIDEO: RATIBA YA LIGI KUU BARA IPO NAMNA HII, MECHI 15 NYUMBANI NA UGENINI

 LICHA ya timu ya Manchester United kupewa asilimia kubwa ya kushinda taji la Europa League mambo yamekuwa magumu kwao baada ya kuliacha mikononi mwa wapinzani wao ambao walikuwa hawapewi nafasi.



Villarreal inayonolewa na Unai Emery imeibuka na ubingwa huo mbele ya Manchester United katika mchezo uliochezwa usiku wa kuamkia leo kwa ushindi wa penalti 11-10 baada ya sare ya kufungana bao 1-1.

Gerrard Moreno alianza kupachika bao kwa Villarreal likawekwa usawa na Edinson Cavani. 

Ilikuwa ni bonge moja ya fainali kwa kuwa dakika 30 ziliongezwa na ngoma ikawa sare ya 1-1, jumla ya penalti 22 zilipigwa na 21 zote zilizama nyavuni, ilikuwa penalti ya kipa namba moja wa United, David de Gea iliamua ubingwa uende kwa Villarreal kwa kuwa kipa alidaka.


United Mara ya mwisho kutwaa taji hilo ilikuwa 2017 zama za Kocha Mkuu, Jose Mourinho hivyo bado anaendelea kushikilia rekodi yake.


Unai anaweka rekodi yake ya kuingia fainali mara ya kwanza na timu hiyo na kusepa na taji jumlajumla jambo linalomfanya awe na bahati na taji hilo kwa kuwa aliwahi kutwaa taji hilo zama alipokuwa akifundisha pia Sevilla. 



Credit: SALEH JEMBE

Please subscribe to get all sports news instantly
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: MANCHESTER UNITED WAAMBULIA PATUPU, VILLARREAL YASEPA NA TAJI MAZIMA
MANCHESTER UNITED WAAMBULIA PATUPU, VILLARREAL YASEPA NA TAJI MAZIMA
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEiTFKoY4Xy8BJMuMuoCGPz1R8DhqNxwjMH0g2oujqAyE0XVISPz8Os25zo7elovMFH3QYp6MEyMyuylxowBZ2G_ioVJgS9YonEFJ5GD0mK5DaZSuJe0TzS10lQ99Q0nsE4oKRWLITayXx1h/w640-h432/IMG_20210527_063852_867.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEiTFKoY4Xy8BJMuMuoCGPz1R8DhqNxwjMH0g2oujqAyE0XVISPz8Os25zo7elovMFH3QYp6MEyMyuylxowBZ2G_ioVJgS9YonEFJ5GD0mK5DaZSuJe0TzS10lQ99Q0nsE4oKRWLITayXx1h/s72-w640-c-h432/IMG_20210527_063852_867.jpg
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/05/manchester-united-waambulia-patupu.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/05/manchester-united-waambulia-patupu.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy