AUBA AAMBIWA MAKALI YAKE YAMEPUNGUA
HomeMichezo

AUBA AAMBIWA MAKALI YAKE YAMEPUNGUA

MCHAMBUZI wa masuala ya michezo, Jamie Redknapp amesema kuwa mshambuliaji wa kikosi cha Arsenal, Pierre Emerick Aubameyang anaonekana kupo...

CV YA KOCHA MPYA WA VIUNGO YANGA HII HAPA
ISHU YA MOHAMED HUSSEIN KWENDA YANGA, SIMBA WAFUNGUKIA
MUONEKANO WA UKURASA WA NYUMA GAZETI LA CHAMPIONI IJUMAA

MCHAMBUZI wa masuala ya michezo, Jamie Redknapp amesema kuwa mshambuliaji wa kikosi cha Arsenal, Pierre Emerick Aubameyang anaonekana kupoteza yale makali yake ya zamani kwa msimu huu wa 2020/21.

Wakati Arsenal ikipoteza kwa kufungwa bao 1-0 dhidi ya Manchester City kwenye mchezo wa Ligi Kuu England uliochezwa Uwanja wa Emirates, safu ya ushambuliaji ya Arsenal ilionekana kuwa butu ndani ya uwanja.

Takwimu zinaonyesha kuwa Arsenal walipiga jumla ya mashuti 7 na katika hayo ni moja lililenga lango huku City wakipiga jumla ya mashuti 15 na matatu yalilenga lango jambo ambalo limempa nguvu mchambuzi huyo kuweka wazi kwamba kuna kazi kwa Arsenal ya kufanya katika safu ya ushambuliaji.

Bao pekee la Manchester City inayonolewa na Pep Guardiola lilipachikwa dakika ya  2 na Raheem Streling na lilidumu mpaka mwisho wa mchezo huo uliokuwa na ushindani mkubwa kutoka kwa vijana wa Mikel Arteta.

Raia huyo wa Gabon msimu uliopita aliweza kufunga jumla ya mabao 29 kwenye mashindano yote aliyoshiriki ila msimu huu mambo kwake yamekuwa magumu kwa kuwa hajajenga ushkaji na nyavu.

Matokeo hayo yanaifanya Arsenal kubaki na pointi zao 34 ikiwa nafasi ya 10 huku City ikijikita kileleni na pointi zake ni 59.

"Ninaona kwamba kuna nguvu ambayo ameikosa msimu huu tofauti na awali hivyo kuna kazi kwa Auba ya kufanya ili kurejea kwenye makali yake ndani ya uwanja," amesema.



Credit: SALEH JEMBE

Please subscribe to get all sports news instantly
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: AUBA AAMBIWA MAKALI YAKE YAMEPUNGUA
AUBA AAMBIWA MAKALI YAKE YAMEPUNGUA
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgi6awJTj9umT3ohlnPSA9u067L2VmthtddkIUcsIdUf0mAUG0Y0vjX40GaJKuJgDLLT1TtBDr5EQCa7NC9vAQfc2ILLPva7QsRhiFDvuLcyZW4mnZa4aWu1hiSQLsDILjaOFPJxh7TRBJN/w640-h436/Auba+v+City.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgi6awJTj9umT3ohlnPSA9u067L2VmthtddkIUcsIdUf0mAUG0Y0vjX40GaJKuJgDLLT1TtBDr5EQCa7NC9vAQfc2ILLPva7QsRhiFDvuLcyZW4mnZa4aWu1hiSQLsDILjaOFPJxh7TRBJN/s72-w640-c-h436/Auba+v+City.jpg
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/02/auba-aambiwa-makali-yake-yamepungua.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/02/auba-aambiwa-makali-yake-yamepungua.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy