Benki ya Dunia yatoa viwango vya ukuaji uchumi
Mkuu wa Uchumi wa Benki ya Dunia Olivier Blanchard akiongea na wanahabari Beijing, China, Jumanne, Januari, 20, 2015
HomeHabariKimataifa

Benki ya Dunia yatoa viwango vya ukuaji uchumi

Mkuu wa Uchumi wa Benki ya Dunia Olivier Blanchard akiongea na wanahabari Beijing, China, Jumanne, Januari, 20, 2015 . Benki...

Van Gaal says Rooney not guaranteed starting place at United
Iraq says rebuilding of army still in early stages
Hosts Guinea name Becker as coach for Nations Cup
.
Benki ya dunia imetoa matarajio yake ya kiuchumi kwa mwaka 2015, na kusema uchumi wa dunia unakabiliana na kile mkuu wake alichokiita “mawimbi makubwa na magumu.”
Benki ya Dunia bado inatarajia ukuwaji wa asilimia 3.5 kwa mwaka huu wa 2015 na asilimia 3.7 kwa mwaka ujao wa 2016.

Pamoja na ukuaji huo viwango vyote vipo chini kwa tatu ya kumi kutoka katika matarajio ya benki hiyo ya mwezi Oktoba, mwaka jana.

Mchumi mkuu wa Benki ya Dunia, Oliver Blanchard, amewaambia wanahabari Jumanne mjini Beijing, China, kwamba uchumi wa dunia unatarajiwa kukuwa kwa kiasi kwa mwaka huu wa 2015.
Ukuaju huo ni zaidi ya ukuaji wa mwaka jana,  licha ya matazamio ya ukuaji hafifu wa kiuchumi kwa sehemu kubwa ya dunia.

Chanzo VOA
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: Benki ya Dunia yatoa viwango vya ukuaji uchumi
Benki ya Dunia yatoa viwango vya ukuaji uchumi
http://gdb.voanews.com/420D3E20-3F3A-4A38-B2C3-072D32F84E2B_w640_r1_s_cx0_cy12_cw0.jpg
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2015/01/benki-ya-dunia-yatoa-viwango-vya-ukuaji.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2015/01/benki-ya-dunia-yatoa-viwango-vya-ukuaji.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy