Wema Hajampeleka Diamond Mahakamani – Martin Kadinda Akanusha
HomeMatukio

Wema Hajampeleka Diamond Mahakamani – Martin Kadinda Akanusha

Meneja wa mwigizaji Wema Sepetu, Martnin Kadinda amekaunsha habari ya Wema kumpeleka polisi Diamond kwa kumtapeli shilingi milioni 10, ili...

Leading Women's most inspiring women of 2014
DUNIA HII JAMANI IMEKWISHA MWANUME HUYU ATUMIA DOLA 240,000 KUJIBADILISHA SURA ILI AWE KAMA MWANAMKE CHEKI PICHA ZAKE HAPA
Msako kwenye mtandao wa Instagram, Justin Bieber apoteza wafuasi zaidi ya milioni moja.

Meneja wa mwigizaji Wema Sepetu, Martnin Kadinda amekaunsha habari ya Wema kumpeleka polisi Diamond kwa kumtapeli shilingi milioni 10, iliyochapishwa leo kwenye Gazeti la Mtanzania.



Martin amesema alipo ongea na mtandao wa bongo5 kuwa Wema na Diamond hawadaiani chochote na kwamba habari hizo ni za uongo. “Unajua tatizo ni kwamba hatujajua source ni nani,” amesema Martin. “Kwa sababu taarifa
ikishaingia kwenye social network everybody posts, kwahiyo sisi tunamtafuta nani ameianzisha hiyo stori. “We don’t have any issue with Diamond. Diamond hana issue yoyote na Wema,” amesisitiza.


 
hii nda habari yenyewe iliyo chapishwa na gazeti la Mtanzania “Kwahiyo tunashangaa ni kama ambavyo wanazusha sijui kafumwa na nani ni uongo mtupu. Lakini nashangaa media ambazo zinaaminika zinaamua kuandika story bila kumpigia simu mhusika au meneja na kuuliza ukweli wa hiyo story.” Martin Alimaliza.
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: Wema Hajampeleka Diamond Mahakamani – Martin Kadinda Akanusha
Wema Hajampeleka Diamond Mahakamani – Martin Kadinda Akanusha
http://taarifa.co.tz/wp-content/uploads/2015/01/1.jpg
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2015/01/wema-hajampeleka-diamond-mahakamani.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2015/01/wema-hajampeleka-diamond-mahakamani.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy