YULE MSICHANA MHINDI ALIYEKAIDI WAZAZI WAKE ANAJUTAA.......KISA CHOTE SOMA HAPA
Sarika na mume wake Timothy wameachana baada ya Sarika kudai kwamba mume wake amekuwa akimdhulumu
HomeKimataifaMatukio

YULE MSICHANA MHINDI ALIYEKAIDI WAZAZI WAKE ANAJUTAA.......KISA CHOTE SOMA HAPA

Sarika na mume wake Timothy wameachana baada ya Sarika kudai kwamba mume wake amekuwa akimdhulumu Je unakumbuka kisa cha wapenzi waw...

BABA MZAZI AKESHA AKIBAKA WANAYE! >>>Soma yote hapa
Maajabu mengine ya teknolojia ni kwenye hii gari.. ni ndogondogo na bado inaweza kujipunguza ukubwa.. (VIDEO)
JESHI LA POLISI TANZANIA WATOA TAHADHARI KWA WAENDESHA MAGARI JIJINI DAR ES SALAAM KUTOKANA NA HALI YAMVUA INAVYOENDELEA KUONYESHA


Je unakumbuka kisa cha wapenzi wawili waliozua gumzo nchini Kenya?
Msichana mhindi Sarika Patel kutoka familia tajiri na Timothy Khamala mbukusu kutoka familia maskini kutoka Magharibi mwa Kenya kuoana? wakati yao mapenzi yao yalijulikana kama Bukusu Darling, sifa kwa wanakoishi wawili hao.
Taarifa sasa ni kwamba mapenzi yao yamefika kikomo. Familia ya msichana Sarika ililaani sana mapenzi hayo kwani Timothy alikuwa anafanya kazi kwao kama mfanyakazi wa nyumbani.
Na Sarika alipoamua kwenda kuishi na Timothy kama mume na mke familia yake ilimfukuza na kisha kumfuta kazi Timothy.
sarika patelWawili hao walioana kinyume na matakwa ya familia ya Sarika ambayo kwao ilikuwa ni kama aibu kubwa sana kwa mtoto wao kutoka familia tajiri kuolea na kijana asiyekuwa na mbele wala nyuma.
Wakati taarifa ya wawili hao ilipogonga vichwa vya habari nchini Kenya, Sarika na mume wake walipata kazi katika kiwanda cha kutengeza Sukari kutoka kwa wahisani.
Lakini sasa kuna madai kwamba ndoa yao imevunjika baada ya Sarika kulalamika kwamba Timothy amekuwa akimdhulumu na kumtusi kila mara hali iliyosababisha wawili hao kutalakiana.
Mtandao wa Standard Digital umemnukuu Sarika akisema: "nilipokuwa mgonjwa , hakuwa hata na 
muda wa kunipeleka hospitalini badala yake wazazi wake ndio walionipeleka kutafuta matibabu. Mbali na hayo amekuwa akinichapa, '' alisema Sarika huku akibubujikwa na machozi.
Kwa sasa inaarifiwa anajuta sana kwa nini alikaidi amri ya wazazi wake.
''Ninajuta sana kwa nini sikuwasikiliza wazazi wangu na kuolewa kinyume na mapenzi yao. Ninaomba radhi, natumai watanikubali kurejea nyumbani. ''
Sarika ambaye ni mtoto wa nne katika familia ya watoto watano, ameamua kurejea nyumbani na kusema kamwe hatawahi kuwa na uhusiano wa kimepenzi tena. Lakini wazazi wake wamempa masharti, mwanzo aishi na rafiki yake huku akifanya uamuzi wa mwisho kuhusu anakotaka kuishi.
Anasema anahofia kwamba jamii ya wahindi haitamkubali tena kwani hakuwasikiliza wakati walipomshauri kutoolewa na mwanamume mwafrika
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: YULE MSICHANA MHINDI ALIYEKAIDI WAZAZI WAKE ANAJUTAA.......KISA CHOTE SOMA HAPA
YULE MSICHANA MHINDI ALIYEKAIDI WAZAZI WAKE ANAJUTAA.......KISA CHOTE SOMA HAPA
http://ichef.bbci.co.uk/news/ws/660/amz/worldservice/live/assets/images/2014/08/07/140807105107_bukusu_darling__512x288_bbc_nocredit.jpg
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2015/01/yule-msichana-mhindi-aliyekaidi-wazazi.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2015/01/yule-msichana-mhindi-aliyekaidi-wazazi.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy