Baada ya meneja  wake kukanusha, Wema Sepetu mwenyewe kaongea kuhusu ishu ya kumpeleka Diamond Polisi.
HomeBurudani

Baada ya meneja wake kukanusha, Wema Sepetu mwenyewe kaongea kuhusu ishu ya kumpeleka Diamond Polisi.

Baada ya hapo Juzi meneja wa mwigizaji Wema Sepetu, Martin Kadinda kukanusha habari za Wema kumpeleka polisi Diamond Platnumz ambae al...

DIAMOND PLATNUMZ AJA NA DAWA YA WANAO MZOMEA AKIWA JUKWAANI
OMMY DIMPOZ, IDRIS WAWASHITUKIZA WANAFUNZI MBEZI HIGH SCHOOL
Diamond Platnumz kweli ni nomaaa...!!!! Angalia Wanafunzi wa Kimarekani Wakicheza Wimbo wa 'My Number One' wa Diamond Platnumz ni Sheedah



Baada ya hapo Juzi meneja wa mwigizaji Wema Sepetu, Martin Kadinda kukanusha habari za Wema kumpeleka polisi Diamond Platnumz ambae alikuwa mpezi wake. Kwa kutoweza kulipa kwa wakati deni la shilingi million 10. Jana Wema Sepetu alifunguka kuhusu swala hili katika mahojiano na Millard Ayo.

Wema ameyasema haya “Hii taarifa imenishtua sana maana asubuhi ya jana nimekuta kwenye gazeti wameandika nikashangaa yaani hapa nimekaa kwa sababu muda mwingi siendeshi mimi akaunti yangu ya twitter, anaiendesha mtu wangu wa blog Bestizo maana nilikua nataka kutoa tamko“

“Nilishasema ukurasa huu tulishaufunga na nilishasema haiwezi kujirudia tena, nashangaa watu wanarudi na maneno yale yale maana nimekaa kimya kwa kila kitu ili kuepuka haya maneno“

“Hakuna kitu ambacho namdai Diamond,hakuna siku hata moja nimefikiria kwenda kumshtaki Diamond labda kama kungekuwa kuna kitu chochote, yaani labda kungekuwa na ukweli wa kitu chochote siwezi kupoteza muda wangu kwenda polisi, sijawahi kufanya kitu cha namna hii hizi taarifa zimenishtua sana“

“Sijawahi kujiunga VICOBA maana sivijui, nilikua nimekaa na mtu akanambia labda Wema hujui hawa watu wa VICOBA wanajaribu kujitangaza kwa njia hii na kutengeneza hii kitu kwamba VICOBA wanaweza kukopa hadi Milioni kumi… kwanza mimi siwezi kukopa Milioni 10..“– Wema Sepetu.
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: Baada ya meneja wake kukanusha, Wema Sepetu mwenyewe kaongea kuhusu ishu ya kumpeleka Diamond Polisi.
Baada ya meneja wake kukanusha, Wema Sepetu mwenyewe kaongea kuhusu ishu ya kumpeleka Diamond Polisi.
http://www.bongomovies.com/public/uploads/WEMA_SEPETUU888.jpg
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2015/01/baada-ya-wake-kukanusha-wema-sepetu.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2015/01/baada-ya-wake-kukanusha-wema-sepetu.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy