Muziki wa bongoflava unaendelea kuvuka mipaka na kuendelea kupendwa mataifa mbalimbali. Wimbo wa Diamond Platnumz umetumiwa na wanafunzi ...
Muziki wa bongoflava unaendelea kuvuka mipaka na kuendelea kupendwa mataifa mbalimbali. Wimbo wa Diamond Platnumz umetumiwa na wanafunzi wa Kiswahili chuo cha Florida nchini Marekani kama sehemu ya masomo yao ambao waliucheza.
COMMENTS