HomeHabariTop Stories

Baada ya makubaliano ya kusitisha mapigano Iran yatangaza ushindi dhidi ya Israel

Kundi la Hezbollah limedai “ushindi” dhidi ya Israel baada ya kusainiwa kwa makubaliano ya kusitisha mapigano, likisema wapiganaji wake wako...

Waziri Kikwete azindua miradi yenye thamani ya shilingi bil.1.6 wilayani Songwe
Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo February 25, 2025
Wakandarasi wasimamiwe kutekeleza miradi ya nishati kwa wakati – Kapinga

Kundi la Hezbollah limedai “ushindi” dhidi ya Israel baada ya kusainiwa kwa makubaliano ya kusitisha mapigano, likisema wapiganaji wake wako tayari kukabiliana na vitisho vya Israel siku zijazo

Kundi la Hezbollah limedai “ushindi” dhidi ya Israel baada ya kusainiwa kwa makubaliano ya kusitisha mapigano, likisema wapiganaji wake wako tayari kukabiliana na vitisho vya Israel siku zijazo.

Licha ya vikosi vya Israel kusababisha hasara kubwa kwa kundi hilo, ikiwwemo kuuawa kwa kiongozi wa Hezbollah Hassan Nasrallah, limesema Israel ilishindwa kukalia miji yoyte au kuunda eneo la usalama.

Mkataba wa kusitisha mapigano unaitaka Hezbollah kuondoka kaskazini mwa Mto Litani na kuvunja miundombinu yake ya kijeshi kusini mwa Lebanon.

Hezbollah pia ilidai kufanya zaidi ya operesheni 4,637 za kijeshi dhidi ya Israel tangu Oktoba 2023 na kuahidi kuendelea kuwaunga mkono Wapalestina.

The post Baada ya makubaliano ya kusitisha mapigano Iran yatangaza ushindi dhidi ya Israel first appeared on Millard Ayo.



from Millard Ayo https://ift.tt/WR4voKX
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: Baada ya makubaliano ya kusitisha mapigano Iran yatangaza ushindi dhidi ya Israel
Baada ya makubaliano ya kusitisha mapigano Iran yatangaza ushindi dhidi ya Israel
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2024/11/baada-ya-makubaliano-ya-kusitisha.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2024/11/baada-ya-makubaliano-ya-kusitisha.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy