YANGA YAMJUMUISHA KIPA WA KIKOSI B KWENYE MSAFARA
HomeMichezo

YANGA YAMJUMUISHA KIPA WA KIKOSI B KWENYE MSAFARA

KIPA Godfrey Magaigwa ambaye ni namba moja katika kikosi B amejumuishwa kwenye kikosi cha wakubwa kuelekea mchezo wa nusu fainali kombe la...


KIPA Godfrey Magaigwa ambaye ni namba moja katika kikosi B amejumuishwa kwenye kikosi cha wakubwa kuelekea mchezo wa nusu fainali kombe la Shirikisho la Azam (ASFC) dhidi ya Biashara United


Yanga itashuka Uwanja wa Alli Hassan Mwinyi, Juni 25 kusaka ushindi mbele ya Biashara United ya Mara.

Leo Juni 23 imewasili salama Tabora kwa ajili ya maandalizi ya mwisho ya mchezo huo unaotarajiwa kuwa na ushindani mkubwa.

Magaigwa aliibuka kuwa mlinda lango bora wa ligi kuu ya Vijana iliyofikia tamati mwishoni mwa wiki iliiyopita, Uwanja wa Azam Complex.

Vijana wa Yanga walitinga fainali ya michuano hiyo lakini wakapoteza mchezo kwa kufungwa mabao 2-1 dhidi ya Mtibwa Sugar ambao ni mabingwa mara tatu mfululizo.



Credit: SALEH JEMBE

Please subscribe to get all sports news instantly
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: YANGA YAMJUMUISHA KIPA WA KIKOSI B KWENYE MSAFARA
YANGA YAMJUMUISHA KIPA WA KIKOSI B KWENYE MSAFARA
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjX9Ud121l1N3KhmXa_QEt71Cl-rB_phWvA_iZhfodjARsbZZcu_80n-LjpVgwvdqT096IrIIgitRcKhgaayjc-hjEOfXeH3wIQlbWMJZy6QtAgwORuCsfgSbEZOuorz0hi0auH3JBvAbD-/w640-h634/IMG_20210623_114437_365.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjX9Ud121l1N3KhmXa_QEt71Cl-rB_phWvA_iZhfodjARsbZZcu_80n-LjpVgwvdqT096IrIIgitRcKhgaayjc-hjEOfXeH3wIQlbWMJZy6QtAgwORuCsfgSbEZOuorz0hi0auH3JBvAbD-/s72-w640-c-h634/IMG_20210623_114437_365.jpg
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/06/yanga-yamjumuisha-kipa-wa-kikosi-b.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/06/yanga-yamjumuisha-kipa-wa-kikosi-b.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy