URENO YAWAAMBIA MASHABIKI WAKAE MKAO WA KULA
HomeMichezo

URENO YAWAAMBIA MASHABIKI WAKAE MKAO WA KULA

 JOAO Moutinho amewaambia mashabiki wa timu ya taifa ya Ureno kuwa wakae mkao wa kula kwa kuwa watarudisha furaha kwao. Ureno walinyooshw...


 JOAO Moutinho amewaambia mashabiki wa timu ya taifa ya Ureno kuwa wakae mkao wa kula kwa kuwa watarudisha furaha kwao.

Ureno walinyooshwa mabao 4-2 dhidi ya Ujerumani kweye mchezo wa Euro 2020 juzi jambo ambalo lilizua hofu kuhusu suala la kuweza kufuzu michuano hiyo hatua ya mtoano.

Nyota huyo amesema kuwa mchezo wao leo dhidi ya Ufaransa utakuwa mkali na mashabiki wakae tayari kuona kile ambacho watakifanya.

"Tunajua jinsi ambavyo mashabiki waliumia, nafikiri mwisho wa uchungu umefika na sasa wasubiri matokeo mazuri," .

Ureno ni mabingwa watetezi wana pointi tatu baada ya kushinda mchezo mmoja na kupoteza mchezo mmoja, leo saa 4:00 usiku wana kazi ya kufanya mbele ya Ufaransa. 



Credit: SALEH JEMBE

Please subscribe to get all sports news instantly
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: URENO YAWAAMBIA MASHABIKI WAKAE MKAO WA KULA
URENO YAWAAMBIA MASHABIKI WAKAE MKAO WA KULA
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEiLC8kW7yH3Ssy8bgT0D50cQc3KnxlKY_9VdOMgDbqy2PPKLhy1ebOVVrfuIa00PXcwo0-EA3YFBdMAjSMCbfXCHulAoTTXw07dKvxsx9MopR_7w3ZzUgLDLW81GiwE5p8u5QOMLS7zYHKF/w640-h444/Joao.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEiLC8kW7yH3Ssy8bgT0D50cQc3KnxlKY_9VdOMgDbqy2PPKLhy1ebOVVrfuIa00PXcwo0-EA3YFBdMAjSMCbfXCHulAoTTXw07dKvxsx9MopR_7w3ZzUgLDLW81GiwE5p8u5QOMLS7zYHKF/s72-w640-c-h444/Joao.jpg
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/06/ureno-yawaambia-mashabiki-wakae-mkao-wa.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/06/ureno-yawaambia-mashabiki-wakae-mkao-wa.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy