MERIDIABET YAZIPA VIFAA TIMU ZOTE KWENYE BONANZA LA STREET SOCCER
HomeMichezo

MERIDIABET YAZIPA VIFAA TIMU ZOTE KWENYE BONANZA LA STREET SOCCER

  Kampuni maarufu ya kubashiri matokeo ya Meridianbet imetoa vifaa vya michezo kwa timu zote zilizoshiriki bonanza la soka la timu za mt...

MIKEL ARTETA: WACHEZAJI WALICHEZA CHINI, HATUKUWA NA NAMNA
VIDEO: MILIONI 20 MCHONGO MKUBWA, NAZI ZITAISHA
VIDEO: MECKY MAXIME ATAKA KUWATENGENEZA AKINA CHAMA WATANZANIA

 



Kampuni maarufu ya kubashiri matokeo ya Meridianbet imetoa vifaa vya michezo kwa timu zote zilizoshiriki bonanza la soka la timu za mtaani lililopewa jina la Meridian soccer street bonanza lililofanyika leo kwenye viwanja vya Fire, Dar es Salaam.


 

Afisa masoko wa Meridianbet, Twaha Ibrahim amezikabidhi vifaa hivyo ambavyo ni seti za jezi na mipira timu za Kigambo Fc ambayo ilikuwa bingwa, Pemaco Fc ya Mbezi Beach iliyokamata nafasi ya pili, Northern Boyz ya Mbagara na Matombo FC ya Upanga na kubainisha moja ya mkakati wa kampuni hiyo  hiyo ni kusapoti timu za mtaani ambazo baadhi ya wachezaji wake ni wateja wao.

Twaha ambaye aliambatana na viongozi wengine waandamizi wa Meridianbet amesema hamasa iliyoonekana kwenye bonanza la leo limethibitisha namna vijana wengi wana vipaji lakini hawapati nafasi ya kuonekana.



Katika bonanza hilo, Kigamboni FC ilitwaa ubingwa baada ya kuichapa
Pemaco mabao 3-2 katika mchezo wa fainali uliokuwa na amsha amsha kwa mashabiki wa pande zote mbili.

Babi Nyanda ndiye alikuwa shujaa wa Kigamboni baada ya kufunga mabao mawili pekee na jingine likifungwa na Salum Chubi na timu hiyo kuondoka na seti ya jezi na mipira miwili huku Gerald Gerald 'Samatta' na Baina Juma wakifunga yale ya Pemaco na kumaliza wa pili wakiondoka na seti ya jezi na mpira mmoja.



Northern Boys walimaliza wa tatu na kuzawadiwa seti ya jezi na Matombo FC walimaliza wa nne na kupewa mipira mitatu.

Enock Babi wa Kigamboni FC alikuwa mfungaji bora wa bonanza hilo.

Twaha amesema Babi atawekewa kitita cha Sh 30,000 hadi 50,000 kwenye akaunti yake ya Meridianbet ambayo ataitumia kubashiri matokeo ili kujishindia mamilioni.



Credit: SALEH JEMBE

Please subscribe to get all sports news instantly
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: MERIDIABET YAZIPA VIFAA TIMU ZOTE KWENYE BONANZA LA STREET SOCCER
MERIDIABET YAZIPA VIFAA TIMU ZOTE KWENYE BONANZA LA STREET SOCCER
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEilXBr4mH9kf9_kVfmjhNKwXSb3nSxn84VIDL6CMQ3Mb9FD1uxdV-3wARKPy8zUAVlfheks99bBT3WNuvO_P7mcFusMzliZ4rP6NC4SsUW0m-UXY5v4LyjFpRMykgPqVoDL6B1-i4mrgvQD/w640-h426/WhatsApp+Image+2021-09-25+at+20.05.10.jpeg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEilXBr4mH9kf9_kVfmjhNKwXSb3nSxn84VIDL6CMQ3Mb9FD1uxdV-3wARKPy8zUAVlfheks99bBT3WNuvO_P7mcFusMzliZ4rP6NC4SsUW0m-UXY5v4LyjFpRMykgPqVoDL6B1-i4mrgvQD/s72-w640-c-h426/WhatsApp+Image+2021-09-25+at+20.05.10.jpeg
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/09/meridiabet-yazipa-vifaa-timu-zote.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/09/meridiabet-yazipa-vifaa-timu-zote.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy