Uegeshaji holela malori yanavyochangia biashara ya ngono zembe , uhalifu na Ajali Mikumi.
HomeHabariTop Stories

Uegeshaji holela malori yanavyochangia biashara ya ngono zembe , uhalifu na Ajali Mikumi.

Kutokana na kuwepo na vituo holela vya uegeshaji magari makubwa ya Mizigo katika eneo la Mikumi(Kidoma na Green) Wilaya ya Kilosa barabara y...

Getafe wamezungumza na Real Madrid kuhusu mkataba wa kumnasa mshambuliaji mwenye umri wa miaka 19.
Rais Samia awatembelea wakulima wa wilaya ya Namtumbo.
Habari kubwa Magazetini Kenya leo June 8, 2024

Kutokana na kuwepo na vituo holela vya uegeshaji magari makubwa ya Mizigo katika eneo la Mikumi(Kidoma na Green) Wilaya ya Kilosa barabara ya Iringa – Morogoro kumetajwa kusababisha ongezeko la biashara haramu ya ngono ,ajali na uhalifu katika eneo hilo.

Wakizungunza na Kituo hiki wakati wa ziara ya Mkuu wa Mkoa Morogoro Adam Malima, ambapo baadhi ya wakazi hao wanasema licha ya kuongezeka kwa Fursa za biashara kwa wajasiriamali hasa mama lishe katika eneo hilo hofu ya kuongezekana kwa magonjwa ya zinaa kama HIV hasa Kwa Vijana wa kike kutokana na kutumia Sehemu hiyo kama eneo la kuuuza miili Yao.

Wanasema siku za hivi karibuni wameshuhudia wasichana wadogo kuanzia umri wa miaka 15_20 wakisimama pembezoni mwa barabara na kufanya vitendo hivyo jambo ambalo ni hatari kwa usalama wao hivyo serikali iangalie namna ya kutatua changamoto hilo.

“unakuta wasichana tena wadogo kabisa wamesimama kwenye malori pembezoni ya barabara wakifanya biashara haramu ya kuuza miili (dada poa) huku wengine wakitumia kama.sehemu ya kujificha hasa wahalifu hii ni hatari kwa taifa”alisema Mponzi Mwinyimvua mkazi wa mikumi

Mkuu wa mkoa Morgoro Adam Malima akiwa ameambata na kamati ya usalama mkoa wanafika katika eneo hilo ambapo anatoa maagizo kwa Halmashauri ya wilaya ya Kilosa kuangalia namna ya kuweza kuthibiti hali hiyo ikiwemo kutafuta Sehemu maalum ya maegesho.

Anasema licha ya kuwa jambo hilo ni hatari kwa usalama wa wakazi wa eneo hilo lakini pia imekua ikichagia kutokea kwa ajali na ukosefu wa mapato hivyo upatikaji wa Kituo maalum cha maegesho ni mwarobaini wa changamoto hizo.

 

The post Uegeshaji holela malori yanavyochangia biashara ya ngono zembe , uhalifu na Ajali Mikumi. first appeared on Millard Ayo.



from Millard Ayo https://ift.tt/XKoA6mO
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: Uegeshaji holela malori yanavyochangia biashara ya ngono zembe , uhalifu na Ajali Mikumi.
Uegeshaji holela malori yanavyochangia biashara ya ngono zembe , uhalifu na Ajali Mikumi.
https://millardayo.com/wp-content/uploads/2024/06/IMG-20240613-WA0042-950x633.jpg
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2024/06/uegeshaji-holela-malori-yanavyochangia.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2024/06/uegeshaji-holela-malori-yanavyochangia.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy