Rais Samia awatembelea wakulima wa wilaya ya Namtumbo.
HomeHabariTop Stories

Rais Samia awatembelea wakulima wa wilaya ya Namtumbo.

Rais wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan ametoa matrekta matatu yenye thamani ya Tsh. 246,000,000 yenye jembe la kulimia, jembe la haro pam...

Rais wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan ametoa matrekta matatu yenye thamani ya Tsh. 246,000,000 yenye jembe la kulimia, jembe la haro pamoja na tela katika Wilaya ya Namtumbo kwa lengo la kukuza kilimo katika Wilaya hiyo.

Rais Samia ametoa matrekta hayo kupitia Wizara ya Kilimo ambapo Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Kanali Ahmed Abbas Ahmed amekabidhi matrekta hayo kwa Uongozi wa Wilaya ya Namtumbo na kuagiza
yapelekwe kwenye Tarafa mbalimbali, maana huko ndiko Wakulima wanatoka na amuagiza Mkuu wa Wilaya ya Namtumbo ahakikishe matrekta yanatunzwa na kuwafikia Walengwa.

Mkuu wa wilaya ya Namtumbo Bi Ngollo Ng’waniduhu Malenya amemshukuru Rais Samia kwa kuwawezesha Wakulima kupata mbolea za ruzuku ambazo zimesababisha uzalishaji Namtumbo kuongezeka ambapo amesema dhana ya kugawa matrekta ndio dhana halisi ya Mapinduzi ya Kilimo.

Rais Samia amefikia hatua hiyo baada ya September mwaka jana, @AyoTV_ kuripoti habari ya DC Ngollo kununua na kugawa bure majembe 500 kwa Wakazi wa Wilaya hiyo kwa lengo la kuwafanya Wananchi washawishike kulima ambapo pia alisema hiyo ni sehemu ya kuunga mkono jitihada za Rais wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan katika kuinua Sekta ya Kilimo Nchi huku akiwataka pia Watanzania kutolalamika kuwa ajira ngumu huku utajiri ukiwa shambani.

The post Rais Samia awatembelea wakulima wa wilaya ya Namtumbo. first appeared on Millard Ayo.



from Millard Ayo https://ift.tt/gnEWuD1
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: Rais Samia awatembelea wakulima wa wilaya ya Namtumbo.
Rais Samia awatembelea wakulima wa wilaya ya Namtumbo.
https://millardayo.com/wp-content/uploads/2024/06/IMG-20240608-WA0001-950x640.jpg
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2024/06/rais-samia-awatembelea-wakulima-wa.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2024/06/rais-samia-awatembelea-wakulima-wa.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy