Mahakama Yatoa Uamuzi Kesi ya Akina Mdee Kupinga Kufukuzwa Uanachama Chadema
HomeHabari

Mahakama Yatoa Uamuzi Kesi ya Akina Mdee Kupinga Kufukuzwa Uanachama Chadema

Mahakama Kuu imewaruhusu waliokuwa wanachama wa Chadema, Halma Mdee na wenzake 18 kufungua shauri la kupinga uamuzi wa chama hicho kuwavu...

Auawa kwa tuhuma za kumpa ujauzito mke wa mtu
Vijiji 10,361 Vyafikiwa Na Huduma Ya Umeme Nchini-Majaliwa
Serikali Imetenga Sh. Trilioni Moja Kwa Mabenki, Taasisi Za Fedha – Majaliwa


Mahakama Kuu imewaruhusu waliokuwa wanachama wa Chadema, Halma Mdee na wenzake 18 kufungua shauri la kupinga uamuzi wa chama hicho kuwavua uanachama.

Mahakama hiyo imetoa ruhusa hiyo kwa kina Mdee leo Ijumaa Julai 8, 2022, baada ya kukubaliana na hoja za maombi yao ya ridhaa ya kufungua shauri hilo la kupinga kuvuliwa uanachama.

Maombi hayo ya kina Mdee yalisikilizwa na Jaji Mustapha Ismail Juni 30 mwaka huu na Chadema kupitia kwa jopo la mawakili wao linaloongozwa na Peter Kibatala, walipinga hoja za mawakili wa kina Mdee kuwa hazikidhi matakwa ya kisheria kupewa ruhusa hiyo

Hata hivyo Jaji Ismail katika uamuzi wake leo amekubaliana na vigezo na hoja zote za kina Mdee, zilizowasilishwa na mawakili wao, Ipilinga Panya, Aliko Mwamanenge, Edson Kilatu na Emmanuel Ukashu.

Kwa uamuzi huo sasa kina Mdee wanatakiwa kufungua shauri lao hilo ndani ya siku 14 kuanzia leo.


Credit: MPEKUZI

Thanks for your time please share with your friends
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: Mahakama Yatoa Uamuzi Kesi ya Akina Mdee Kupinga Kufukuzwa Uanachama Chadema
Mahakama Yatoa Uamuzi Kesi ya Akina Mdee Kupinga Kufukuzwa Uanachama Chadema
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhgaKzRJNzjdWz1DVxTyEmJuyva4KXnIzYE1bxogiDV0m3k_Yn_bcoGQym50CwEqnY0TLlRP_pieI8LZoRsgh6_idjFNUnNl7LOLD2KY1i7ui_pyUbBJuqGZLNceuf5tHQ2fdMuKltiGUsULxt6rJTM6pi2gYejXLiZ9KQfF54gdx6Q4fMSSIZWeFWqig/s16000/1.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhgaKzRJNzjdWz1DVxTyEmJuyva4KXnIzYE1bxogiDV0m3k_Yn_bcoGQym50CwEqnY0TLlRP_pieI8LZoRsgh6_idjFNUnNl7LOLD2KY1i7ui_pyUbBJuqGZLNceuf5tHQ2fdMuKltiGUsULxt6rJTM6pi2gYejXLiZ9KQfF54gdx6Q4fMSSIZWeFWqig/s72-c/1.jpg
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2022/07/mahakama-yatoa-uamuzi-kesi-ya-akina.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2022/07/mahakama-yatoa-uamuzi-kesi-ya-akina.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy