KIONGOZI Anthony Mavunde amebainisha kuwa Red Card, (kadi nyekundu) ambayo ilitolewa kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara kati ya Dodoma Jiji dhid...
KIONGOZI Anthony Mavunde amebainisha kuwa Red Card, (kadi nyekundu) ambayo ilitolewa kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara kati ya Dodoma Jiji dhidi ya Simba ambayo alionyeshwa Anuary Jabir iliweza kuwaathiri kwa kuwa Dodoma Jiji walikuwa wanacheza pungufu.
Credit: SALEH JEMBE
Please subscribe to get all sports news instantly
Kwenye Mchezo huo wa ligi Simba iliweza kushinda bao 1-0 lilifungwa na Meddie Kagere huku Mavunde akibainisha kuwa Simba sio timu ya kutisha sana.
Credit: SALEH JEMBE
Please subscribe to get all sports news instantly
COMMENTS