MTAMBO WA MABAO YANGA WAOMBA SAPOTI YA MASHABIKI, WAAHIDI KUPAMBANA
HomeMichezo

MTAMBO WA MABAO YANGA WAOMBA SAPOTI YA MASHABIKI, WAAHIDI KUPAMBANA

  MTAMBO wa mabao ndani ya kikosi cha Yanga, Deus Kaseke amesema kuwa watazidi kupambana ndani ya uwanja ili kupata matokeo chanya kila w...

KIDUKU ATAJA CHANZO CHA JINA LAKE,YEYE SHOWSHOW
HANS POPPE KUZIKWA LEO IRINGA,PUMZIKA KWA AMANI
WATATU WAKALI PSG KUKIWASHA LEO

 


MTAMBO wa mabao ndani ya kikosi cha Yanga, Deus Kaseke amesema kuwa watazidi kupambana ndani ya uwanja ili kupata matokeo chanya kila wakati.


Yanga imetoka kumalizana na Ken Gold inayoshiriki Ligi Daraja la Kwanza kwenye mchezo wa Kombe la Shirikisho hatua ya 32 bora uliochezwa Uwanja wa Uhuru.


Katika mchezo huo Yanga ilishinda bao 1-0 na kuwafanya watinge hatua ya 16 bora huku nyota wao Carlos Carlinhos akionyeshwa kadi ya nyekundu ya moja kwa moja baada ya kuonekana akimpiga ngumi beki wa Ken Gold,  Boniphace Mwanjonde dakika ya 80.


Ndani ya ligi Yanga ikiwa imetupia jumla ya mabao 34 amehusika kwenye mabao 7, akiwa amefunga mabao sita na kutengeneza nafasi moja ya bao uwanjani.


Kesho, Machi 4 Yanga ina kazi ya kusaka pointi tatu mbele ya Coastal Union ambapo Kwenye mchezo wa mzunguko wa kwanza , Uwanja wa Mkapa Yanga ilishinda mabao 3-0.


Kaseke amesema:"Ushindani ni mkubwa nasi pia tunajua hilo kikubwa ni mashabiki kuendelea kutupa sapoti ili tufanye vema ndani ya uwanja na kila kitu kinawezekana, sisi tutazidi kupambana ili kupata matokeo mazuri, " .

Kwenye msimamo, Yanga ipo nafasi ya kwanza na ina pointi 49 baada ya kucheza jumla ya mechi 21 inakutana na Coastal Union iliyo nafasi ya 13 na pointi 23.



Credit: SALEH JEMBE

Please subscribe to get all sports news instantly
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: MTAMBO WA MABAO YANGA WAOMBA SAPOTI YA MASHABIKI, WAAHIDI KUPAMBANA
MTAMBO WA MABAO YANGA WAOMBA SAPOTI YA MASHABIKI, WAAHIDI KUPAMBANA
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjVueA4FHGQ4oLJwdQtX7b9GqCepzbfJhBZJQaRWhmkWoETrrezyy9bxMNbxC9LALDYymmeIxtcD9k4wYaMiMFd6Bj11f5hI_xHisjHtcZ39_5jgR9-zDjWZ-nlvaee2NfPqtiac5sknaSs/w640-h580/IMG_20210303_040252_771.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjVueA4FHGQ4oLJwdQtX7b9GqCepzbfJhBZJQaRWhmkWoETrrezyy9bxMNbxC9LALDYymmeIxtcD9k4wYaMiMFd6Bj11f5hI_xHisjHtcZ39_5jgR9-zDjWZ-nlvaee2NfPqtiac5sknaSs/s72-w640-c-h580/IMG_20210303_040252_771.jpg
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/03/mtambo-wa-mabao-yanga-waomba-sapoti-ya.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/03/mtambo-wa-mabao-yanga-waomba-sapoti-ya.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy