DCI Wambura Atoa Onyo Kwa Wahalifu.
HomeHabari

DCI Wambura Atoa Onyo Kwa Wahalifu.

Na: Jeshi la Polisi , Dodoma. Mkurugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai nchini DCI Camilius Wambura amesema Jeshi la Polisi halitamvumi...

Habari kubwa Magazetini Kenya leo October 16, 2024
Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo October 16, 2024
Marufuku kupiga picha za viumbe hai Taliban


Na: Jeshi la Polisi , Dodoma.

Mkurugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai nchini DCI Camilius Wambura amesema Jeshi la Polisi halitamvumilia mtu yeyote atakayeendelea  kujihusisha na vitendo vya uhalifu hususani wakati huu ambao Jeshi hilo linaendelea na Operesheni kali ya kupambana na vitendo hivyo.

DCI Wambura ameyasema hayo jana jijini Dodoma katika kikao kazi kilichowashirikisha Maofisa wa Makao Makuu ya Upelelezi na Wakuu wa Upelelezi wa mikoa nchini kwa lengo la kupanga mikakati ya kupambana na uhalifu  pamoja na kutathmini hali ya uhalifu nchini.

Alisema mtu yeyote amabaye anajihusisha na vitendo hivyo kuacha mara moja kwakuwa mkono wa Jeshi la Polisi ni mkubwa  na kwa wakati huu hakuna upenyo wowote utakaoachwa kwa kuwa Operesheni inaendelea nchi nzima.

Alisema katika kuhakikisha hilo linafanikiwa ameona ni bora kukutana na Wakuu hao wa Upelelezi kutoka Mikoa ya Tanzania bara na Zanzibar ili kwa pamoja waweke mikakati ya pamoja ambayo italenga kutokomeza uhalifu hapa nchini.

“ Wito wangu kwa wahalifu ni bora   watafute kazi nyingine ya kufanya kwa kuwa hatuna huruma kwa watu hao na Wananchi waendelee kutupatia taarifa zao ili tuhakikishe nchi yetu inaendelea kuwa salama “ Alisema Wambura.

Kwa upande wake Naibu DCI, DCP Faustine Shilogile alisema Idara ya Upelelezi wa Makosa ya Jinai Makao Makuu inaendelea kuboresha mifumo ya ukusanyaji wa takwimu na utoaji wa mafunzo kwa watendaji wa idara hiyo ili kuwa na wapelelezi wenye weledi ambao watasaidia kuharakisha upelelezi wa kesi zinazoripotiwa katika vituo vya Polisi.

Katika kikao hicho Wakuu wa Vitengo kutoka  Idara ya Upelelezi wa Makao Makuu ya Polisi walipata fursa ya kutoa elimu kwa Wakuu hao wa Upelelezi wa mikoa jinsi Vitengo vyao vinavyofanya kazi pamoja na Mwakilishi wa Ofisi ya Mwendesha Mashtaka.



Credit: MPEKUZI

Thanks for your time please share with your friends
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: DCI Wambura Atoa Onyo Kwa Wahalifu.
DCI Wambura Atoa Onyo Kwa Wahalifu.
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjwFpzdEsc2BJ9xzi-yhe8ut1CS7MEol3xLQRpt-PfffinIeXRpv7wnk-LgeGCe0UJQarMAJZvls8WSGOP5Im_REAb_iDiN8fDsSTmxbp2DH7NejcWrlmPI8CI8g6F_x71Mp54n0PI6dSNj/s16000/WhatsApp-Image-2021-06-11-at-2.34.59-PM.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjwFpzdEsc2BJ9xzi-yhe8ut1CS7MEol3xLQRpt-PfffinIeXRpv7wnk-LgeGCe0UJQarMAJZvls8WSGOP5Im_REAb_iDiN8fDsSTmxbp2DH7NejcWrlmPI8CI8g6F_x71Mp54n0PI6dSNj/s72-c/WhatsApp-Image-2021-06-11-at-2.34.59-PM.jpg
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/06/dci-wambura-atoa-onyo-kwa-wahalifu.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/06/dci-wambura-atoa-onyo-kwa-wahalifu.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy