ONYANGO:KELELE ZILIPUNGUA KWA WALIOKUWA WANANIPONDA BAADA YA KUFUNGA KWENYE DABI
HomeMichezo

ONYANGO:KELELE ZILIPUNGUA KWA WALIOKUWA WANANIPONDA BAADA YA KUFUNGA KWENYE DABI

  JOASH Onyango, beki chaguo namba moja ndani ya Klabu ya Simba inayonolewa na Kocha Mkuu, Didier Gomes amesema kuwa bao lake la kwanza n...

 


JOASH Onyango, beki chaguo namba moja ndani ya Klabu ya Simba inayonolewa na Kocha Mkuu, Didier Gomes amesema kuwa bao lake la kwanza ndani ya Ligi Kuu Bara liliwapunguzia kelele wapinzani waliokuwa wakimponda.


Onyango alipachika bao hilo Uwanja wa Mkapa kwenye dabi yake ya kwanza wakati Yanga ikilazimisha sare ya kufungana bao 1-1 ilikuwa zama za Sven Vandenbroeck. 


Bao la Yanga lilipachikwa kipindi cha Kwanza na Michael Sarpong kwa mkwaju wa penalti baada ya mwamuzi wa kati kutafsri kwamba Onyango alimchezea rafu ndani ya 18 mzee wa spidi Tuisila Kisinda. 


Bao hilo lilidumu mpaka kipindi cha pili lilisawazishwa na Onyango mwenyewe dakika za lala salama kwa kichwa baada ya beki wa Yanga, Bakari Mwamnyeto kuokoa hatari ya Shomari Kapombe na kusababisha iwe kona.


Kona hiyo ilipigwa na Luis Miquissone ikakutana na kichwa cha Onyango ambaye alimtungua kipa namba moja Metacha Mnata na kufanya ubao usome 1-1.


Beki huyo amesema:"Bao langu la Kwanza mbele ya Yanga nilifurahi mno kwa kuwa nilikuwa naskia kwamba wanasema nimefanya makosa, sasa baada ya kufunga nikawa nimesawazisha makosa yangu ila haikuwa dhamira yangu kukosea,".

Simba leo Machi 3 inatarajiwa kuanza safari kuelekea Sudan mwa ajili ya mchezo wao wa Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Al Merrikh unaotarajiwa kuchezwa Machi 6.




Credit: SALEH JEMBE

Please subscribe to get all sports news instantly
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: ONYANGO:KELELE ZILIPUNGUA KWA WALIOKUWA WANANIPONDA BAADA YA KUFUNGA KWENYE DABI
ONYANGO:KELELE ZILIPUNGUA KWA WALIOKUWA WANANIPONDA BAADA YA KUFUNGA KWENYE DABI
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgPf72ZR1YBuoFESQos9b-BUSGuS17ZUW_AVDr7rqzqIbIkYfh3TFIqEzPrPMwg_9f67UZsSLDT5LshLBHac4By6hMHalBg_bprxnpboMJEDQoR4pucY-J7m7g8RHrN0-uDYKaz4Ret_ygy/w640-h630/IMG_20210303_035336_628.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgPf72ZR1YBuoFESQos9b-BUSGuS17ZUW_AVDr7rqzqIbIkYfh3TFIqEzPrPMwg_9f67UZsSLDT5LshLBHac4By6hMHalBg_bprxnpboMJEDQoR4pucY-J7m7g8RHrN0-uDYKaz4Ret_ygy/s72-w640-c-h630/IMG_20210303_035336_628.jpg
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/03/onyangokelele-zilipungua-kwa-waliokuwa.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/03/onyangokelele-zilipungua-kwa-waliokuwa.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy