Rais Samia : Mwalimu Nyerere alikuwa kielelezo cha uongozi bora
HomeHabari

Rais Samia : Mwalimu Nyerere alikuwa kielelezo cha uongozi bora

Watanzania wametakiwa kuendelea kuyaenzi mambo yote mazuri ambayo yalifanywa na Baba wa Taifa Hayati Mwalimu Julius Kambrage Nyerere, ili...

Obama's "Tough Talk" on Iran is a Joke
White House gets drone defense wake-up call
Asilimia moja ya watu matajiri duniani


Watanzania wametakiwa kuendelea kuyaenzi mambo yote mazuri ambayo yalifanywa na Baba wa Taifa Hayati Mwalimu Julius Kambrage Nyerere, ili Taifa liendelee kuwa na amani na utulivu.
 
Wito huo umetolewa jana wilayani Chato mkoani Geita na Rais Samia Suluhu Hassan wakati wa kilele cha mbio maalum za Mwenye wa Uhuru, Kumbukizi ya miaka 22 ya kifo cha Baba wa Taifa Hayati Mwalimu Julius Kambarage Nyerere na kilele cha wiki ya Vijana kitaifa.
 
Alisema Hayati Mwalimu Nyerere bado ataendelea kukumbukwa kwa kuwa kielelezo cha uongozi bora kwa Tanzania, Bara la Afrika na Duniani kote, hivyo ni muhimu kuendelea kumuenzi.
 
Kwa mujibu wa Rais Samia Suluhu Hassan, kwa upande wa Serikali itajitahidi kufuata misingi ya haki na utawala bora wakati wote wa kutekeleza majukumu yake, ikiwa ni moja ya njia ya kuuenzi uongozi uliotukuka wa Hayati Baba wa Taifa.
 
Sherehe hizo za kilele cha mbio maalum za Mwenye wa Uhuru, Kumbukizi ya miaka 22 ya kifo cha Baba wa Taifa Hayati Mwalimu Julius Kambarage Nyerere na kilele cha wiki ya Vijana kitaifa  zilihudhuriwa na wageni na Viongozi  mbalimbali akiwemo Makamu wa Rais Dkt. Philip Mpango, Waziri Mkuu Kassim Majaliwa pamoja na Mjane wa Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Julius Nyerere, Mama Maria Nyerere.


Credit: MPEKUZI

Thanks for your time please share with your friends
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: Rais Samia : Mwalimu Nyerere alikuwa kielelezo cha uongozi bora
Rais Samia : Mwalimu Nyerere alikuwa kielelezo cha uongozi bora
https://blogger.googleusercontent.com/img/a/AVvXsEj3jwv0AODuWRzjuDEzlPSJ8KawwUbnJk9Q-8tQr1UJ3qiU5i01Y9y30PalGhH28xSOo42P-lX4faZl-rwULU8vcDdAC6_qal50cyrBcFaEK5IGLuB2jZOyvhMgBYspDfB_kTGAYVm3bOrNWm8bnTFm1AGAoBuKQ3L296CWeUCJclzisarELQeL8DnP4w=s16000
https://blogger.googleusercontent.com/img/a/AVvXsEj3jwv0AODuWRzjuDEzlPSJ8KawwUbnJk9Q-8tQr1UJ3qiU5i01Y9y30PalGhH28xSOo42P-lX4faZl-rwULU8vcDdAC6_qal50cyrBcFaEK5IGLuB2jZOyvhMgBYspDfB_kTGAYVm3bOrNWm8bnTFm1AGAoBuKQ3L296CWeUCJclzisarELQeL8DnP4w=s72-c
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/10/rais-samia-mwalimu-nyerere-alikuwa.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/10/rais-samia-mwalimu-nyerere-alikuwa.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy