BARAZA: KAGERA SUGAR ITAREJEA KWENYE UBORA
HomeMichezo

BARAZA: KAGERA SUGAR ITAREJEA KWENYE UBORA

  KOCHA Mkuu wa Klabu ya Kagera Sugar, Francis Baraza amesema kuwa anaamini timu hiyo itarejea kwenye ubora wake ndani ya mechi za Ligi K...

GUARDIOLA ASIKITIKA KINOMA KISA SARE
SIMBA YAWASHURKURU MASHABIKI, UZEMBE WA SAFU YA ULIZI WAIPA MAUMIVU
YANGA WAREJEA TANZANIA SALAMA KUTOKA NIGERIA

 


KOCHA Mkuu wa Klabu ya Kagera Sugar, Francis Baraza amesema kuwa anaamini timu hiyo itarejea kwenye ubora wake ndani ya mechi za Ligi Kuu Bara.

Kagera Sugar haijawa kwenye mwendo bora kwa msimu huu wa 2020/21 ndani ya ligi kwa kuwa ilianza kwa kusuasua.

Ikiwa ipo nafasi ya 13 baada ya kucheza mechi 24 imekusanya pointi 25 hali iliyofanya Mecky Maxime ambaye alianza na timu hiyo msimu huu kuwekwa kando na Baraza aliyekuwa Biashara United kwa sasa ameanza kukinoa kikosi hicho.

Akizungumza na Saleh Jembe, Baraza amesema kuwa amewaona vijana wake wakiwa na juhudi jambo ambalo linampa matumaini ya kufanya vizuri.

"Vijana wanafanya vizuri na imani yangu ni kwamba tutafanya vizuri kwenye mechi zetu zijazo na hilo linawezekana kwa sababu nimewaambia wanapaswa wajiamini.

"Ipo wazi kwamba ligi ina ushindani mkubwa hivyo nasi ni lazima tuingie kwenye mechi zetu kwa kufanya jitihada zaidi," . 



Credit: SALEH JEMBE

Please subscribe to get all sports news instantly
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: BARAZA: KAGERA SUGAR ITAREJEA KWENYE UBORA
BARAZA: KAGERA SUGAR ITAREJEA KWENYE UBORA
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjLbeeDo1F1KcD_a6yl2ptxyvjQHxwjpLf44FnZwIdR6aw6-v_OeYt8ETv3qE3Ys-ccWsEnASLhN2Wd5rYIzrSzpMlDC-S9uL7EbeBuNAL6wVqm2bzDCwfzUyLC8xkJhgSTScT7PZPr-fGv/w640-h616/Baraza+Kagera+Sugar.JPG
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjLbeeDo1F1KcD_a6yl2ptxyvjQHxwjpLf44FnZwIdR6aw6-v_OeYt8ETv3qE3Ys-ccWsEnASLhN2Wd5rYIzrSzpMlDC-S9uL7EbeBuNAL6wVqm2bzDCwfzUyLC8xkJhgSTScT7PZPr-fGv/s72-w640-c-h616/Baraza+Kagera+Sugar.JPG
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/04/baraza-kagera-sugar-itarejea-kwenye.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/04/baraza-kagera-sugar-itarejea-kwenye.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy