Vyama 16 Vyachukua Fomu Za Uteuzi Kugombea Ubunge Jimbo La Ushetu Mkoa Wa Shinyanga
HomeHabari

Vyama 16 Vyachukua Fomu Za Uteuzi Kugombea Ubunge Jimbo La Ushetu Mkoa Wa Shinyanga

 NEC Habari, Ushetu- Shinyanga Vyama 16 vya siasa vimejitokeza kuchukua fomu za uteuzi kugombea kiti cha Ubunge katika Uchaguzi Mdogo wa U...

Serikali: Wataalamu Wa Sekta Ya Fedha Nchini Endeleni Kutoa Elimu
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa Azindua Kongamano La Uwekezaji Sekta Ya Misitu Na Chapa Ya Mkoa Wa Iringa.
Habari Zilizopo Katika Magazeti ya Leo Novemba 15

 NEC Habari, Ushetu- Shinyanga
Vyama 16 vya siasa vimejitokeza kuchukua fomu za uteuzi kugombea kiti cha Ubunge katika Uchaguzi Mdogo wa Ubunge Jimbo la Ushetu Halmashauri ya Wilaya ya Ushetu Mkoa wa Shinyanga unaotarajiwa kufanyika tarehe 9 Oktoba mwaka 2021.

Vyama vilivyojitokeza kuchukua fomu za uteuzi hadi kufikia tarehe 18 Septemba mwaka 2021 saa 10:00 jioni ni Chama cha DP, Chama cha CHAUMMA, NRA, ADC, AAFP, Sauti ya Umma (SAU),


Vyama vingine vilivyochukua fomu ni Cha cha ADA TADEA, UPDP, TLP, Demokrasia Makini, UMD, NLD, UDP, CCK, CCM na Chama cha ACT Wazalendo.

NEC Habari imeshuhudia baadhi ya wagombea wakichukua fomu za uteuzi huku kikuwepo na ushindani kati ya wanawake na wanaume ambapo kati ya vyama 16 vilivyochukua fomu, vyama nane (8) vimewakilishwa na wanawake.

Vyama vilivyoteua wawakilishi wanawake kuchukua fomu za uteuzi ni Chama cha ADC, AAFP, SAU, ADA-TADEA, UPDP, UMD, NLD na Chama cha CCK.

Msimamizi wa Uchaguzi Jimbo la Ushetu Bw. Linno Pius Mwageni amesema fomu za uteuzi kwa wagombea wa kiti cha Ubunge wa Jimbo hilo zimeanza kutolewa tarehe 13 hadi tarehe 19 kesho Jumalipi itakuwa ni siku ya Uteuzi wa wagombea.

Kwa upande wake Msimamizi Msaidizi  wa Jimbo la Ushetu Godfrey Samwel Lwambura amewataka wagombea hao kuhakikisha wanajaza fumo za uteuzi kwa usahihi na siku watakaporejesha fomu hizo watajaza Fomu Namba 10 ya kuheshimu Maadili ya Uchaguzi.

Kwa mujibu wa ratiba ya Uchaguzi Mdogo wa Ubunge Jimbo la Ushetu iliyotolewa na Tume ya Taifa ya Uchaguzi, Kampeni za Uchaguzi zitaanza tarehe 20 Septemba, 2021 hadi tarehe 8 Oktoba, 2021 na Siku ya Kupiga Kura itakua tarehe 9 Oktoba mwaka 2021.




Credit: MPEKUZI

Thanks for your time please share with your friends
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: Vyama 16 Vyachukua Fomu Za Uteuzi Kugombea Ubunge Jimbo La Ushetu Mkoa Wa Shinyanga
Vyama 16 Vyachukua Fomu Za Uteuzi Kugombea Ubunge Jimbo La Ushetu Mkoa Wa Shinyanga
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgHDg4W0MWEongeHsNSkazJwYOYGOEh56AtngieNYFVL8gET30-FhDC6Waba0srIbKG_69bJRSjMV2fLDujtobgDISRSJzlLKCgppkSij8tXu2NnNEjlHDhXkA1sFY1enmwPkfc4pNFF4DL/s0/1.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgHDg4W0MWEongeHsNSkazJwYOYGOEh56AtngieNYFVL8gET30-FhDC6Waba0srIbKG_69bJRSjMV2fLDujtobgDISRSJzlLKCgppkSij8tXu2NnNEjlHDhXkA1sFY1enmwPkfc4pNFF4DL/s72-c/1.jpg
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/09/vyama-16-vyachukua-fomu-za-uteuzi.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/09/vyama-16-vyachukua-fomu-za-uteuzi.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy