MASTAA HAWA 10 WA SIMBA KUIKOSA MECHI YA KENYA
HomeMichezo

MASTAA HAWA 10 WA SIMBA KUIKOSA MECHI YA KENYA

  KIM Poulsen, Kocha Mkuu wa timu ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars amesema kuwa atakosa huduma za wachezaji 10 wa Simba kwenye mechi za ...

 


KIM Poulsen, Kocha Mkuu wa timu ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars amesema kuwa atakosa huduma za wachezaji 10 wa Simba kwenye mechi za kirafiki dhidi ya Kenya kutokana na wachezaji hao kuwa na kazi kwenye Ligi ya Mabingwa Afrika.

Machi 8, Stars itaingia kambini kwa ajili ya maandalizi ya mechi za kuwania kufuzu Afcon ambapo kabla ya kuvaana na Equatorial Guinea Machi 25 na ule dhidi ya Libya Machi 28 kikosi kinatarajiwa kucheza mechi mbili za kirafiki dhidi ya Kenya.

Kwenye hizo mechi mbili ambazo zinatarajiwa kucheza Machi 15 na 18, Poulsen atakosa huduma ya nyota wa Simba ambao wamehusika kwenye mabao 27 kati ya 45 yaliyofungwa na timu hiyo ndani ya ligi.

Nyota hao ni Shomari Kapombe yeye ni beki wa pembeni ana pasi moja ya bao.  Erasto Nyoni ana pasi moja ya bao,  Kennedy JumaMohamed Hussein 'Tshabalala',beki ana asisti moja na pasi moja ya bao, Jonas Mkude.

 Hassan Dilunga kiungo mshambuliaji ana asisti tatu ametupia mabao mawili , Mzamiru Yassin kiungo mkabaji ametupia mabao mawili na pasi moja ya bao,  Said Ndemla kiungo mkabaji ametupia mabao mawili na ana pasi mbili za mabaoJohn Bocco yeye ametupia mabao 9 na pasi mbili za mabao na kipa namba moja Aishi Manula.

Poulsen amesema kuwa wachezaji hao wanatarajia kuibuka nchini Kenya mara baada ya kumaliza mchezo wao dhidi ya Al Merrikh, Uwanja wa Mkapa unaotarajiwa kuchezwa Machi 16, Uwanja Mkapa.



Credit: SALEH JEMBE

Please subscribe to get all sports news instantly
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: MASTAA HAWA 10 WA SIMBA KUIKOSA MECHI YA KENYA
MASTAA HAWA 10 WA SIMBA KUIKOSA MECHI YA KENYA
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEi5_qk18fsb8hgFecrWHawgZbqyXMKObm-G_bVpntSNpBfiR2kHF8BlFqgp5anaWEYjRJvysQtLMrG0bKI2kVq6ESdO8j4VtXxRTsrz-T2EejvaEbTdpGK9KOdStoIcAJ5Bxm27B3bC1m6j/w564-h640/Nyoni+stars.PNG
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEi5_qk18fsb8hgFecrWHawgZbqyXMKObm-G_bVpntSNpBfiR2kHF8BlFqgp5anaWEYjRJvysQtLMrG0bKI2kVq6ESdO8j4VtXxRTsrz-T2EejvaEbTdpGK9KOdStoIcAJ5Bxm27B3bC1m6j/s72-w564-c-h640/Nyoni+stars.PNG
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/03/mastaa-hawa-10-wa-simba-kuikosa-mechi.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/03/mastaa-hawa-10-wa-simba-kuikosa-mechi.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy